Mpira haudanganyi. Ronaldo amekataliwa Ulaya yote, Messi anagombewa na kila timu Ulaya

Mpira haudanganyi. Ronaldo amekataliwa Ulaya yote, Messi anagombewa na kila timu Ulaya

Wewe kuwa na aibu
Tulikubaliana

1Messi
2messi
3 messi

4pele

Wanafuata watajipanga wenyewe
Ronaldo ni mchezaji wangu bora namba mbili wa muda wote, baada ya Leonel Messi.

Kwa sasa, kilichomponza Ronaldo ni mdomo na ujivuni uliopitiliza. He thinks he's better than everyone and everything! Anataka kila mtu amuabudu, sio kocha wala uongozi wa club!

Hapo ndipo tatizo lilipo. Suala la umri kusogea, ni nature and we all know you can't stay fresh forever. Alitakiwa tu awe mpole, amalize soka lake kwa heshima, lakini imekua tofauti. Ameharibu kuanzia kwenye club, mpaka team ya taifa. Anapoteza heshima yake kijinga sana!

After all is said and done, Ronaldo anabaki kua mchezaji wa kipekee sana. Rekodi zake zinajieleza zenyewe. Kama Leonel Messi asingezaliwa, basi Cristiano Ronaldo ndie angekua mchezaji bora kabisa wa muda wote!
 
Hiki kilichomtokea ronaldo ni aibu ya karne
Mchezaji bora mara tano wa dunia ronaldo alikataliwa na kila timu huko ulaya

Timu moja iliyomkubalia ni timu yake ya utotoni ila ikaweka mashariti kuwa hawatalipa mshahara acheze bure

Ulaya ndio kitovu cha mpira wa dunia na ulaya imemkataa mchezaji bora mara tano

Haijawahi kutokea mchezaji aliyeshinda uchezaji bora hata mara moja kukataliwa hivi

Kina gaucho,kaka, de lima, beckham,zidane waliondoka ulaya huku kilab nyingi zikiwa zinahitaji huduma zao ila walikataa

Messi amelazimishwa kusaini mkataba mpya kule psg ameambiwa acheze hadi achoke
Bado barcelona inamwomba arudi, bayern wanamtaka,Man City wanamtaka

Ronaldo kaamua kwenda uswekeni

Ronaldo hajawahi kucheza jangwani
Je ataweza kucheza jangwani? Au tutarajie ugomvi mwingne akashtski kwa morgan
Ronaldo na Messi umri sawa? Nikukumbushe wachezaji wengi mastaa humalizia soka kwenye ligi zisizo na ushindani mkubwa.Messi wa kombe la Dunia hawezi kuwa Messi wa ligi.
 
Messi hawezi kwenda uswekeni
Huyo Messi akifika umri wa Ronaldo hawezi kukataa dili kama lile. Endelea kuamini hivyo hivyo timu zote Ulaya zimemkataa wakati mwenzako anaenda kuingiza Tsh 16,000 kwa sekunde. Just imagine kwa kila pumzi unayoivuta au kuitoa unaingiza hiyo pesa.
 
Sio kwa wachezaji waliowahi kutwaa uchezaji bora
37 years old

Mpaka Sasa kajitaidi mno kuwepo ulaya (for competitive football).

And it's a very good choice kwenda kumalizia mpira huko Uarabuni.

Messi is 35 years old, no wonder akifika na yeye 37 years atakua kachoka kama Ronaldo.

Mtoa mada wewe ni mgeni katika soka? Mara ngapi tumewashuudia mastaa kibao at this age even lower age than this wanaenda malizia maisha Yao ya soka Uarabuni or Marekani!
 
Nenda kaangalie takwimu za messi psg

Messi na ronaldo wamepishana mwaka tu


Ronaldo na Messi umri sawa? Nikukumbushe wachezaji wengi mastaa humalizia soka kwenye ligi zisizo na ushindani mkubwa.Messi wa kombe la Dunia hawezi kuwa Messi wa ligi.
 
Shida ya Ronaldo anaonesha mapungufu yake wazi wazi...

-Kujivuna..

-Kupenda sifa..

-Ujuaji mwingi...

Mwenzake ana mapungufu mengi tu ila ukimya umekuwa silaha ya kupendwa na vilabu vingi
Malezi mabaya aliyopitia, unajua tena single mother.
 
Hivi kwa akili yako unadhani yeye hana washauri au aache kwenda kuchukua mpunga mrefu ukizingatia na umri..
Unafikiri ameshindwa kuendelea kucheza ulaya kwa akili tu ya darasa la saba.
 
Hivi kwa akili yako unadhani yeye hana washauri au aache kwenda kuchukua mpunga mrefu ukizingatia na umri..
Unafikiri ameshindwa kuendelea kucheza ulaya kwa akili tu ya darasa la saba.
wabongo ujuaji mwingi yaani anajiona ana akili kuliko management ya Ronaldo, ukute hapo alipo mambo yake tu tight ila kupangia watu wanaomzidi ndio anacho jua
 
Kwaiyo Messi anacheza mpira bila mazoezi na CR7 anafanya mazoezi? Hivi uwa mnafikiri Kwa kutumia kiungo gani Cha mwili?
Mchezaji asiye na kipaji ila anafanya mazoezi tu ana wezaje kufunga Magoli 819 na anaendelea kucheza katika umri wa miaka 37.
Shule zifunguliwe haraka mkapate kazi za kufanya.

Ronaldo anafanya mazoezi mara 3 ya Messi
 
Back
Top Bottom