Mpira haudanganyi. Ronaldo amekataliwa Ulaya yote, Messi anagombewa na kila timu Ulaya

Wewe kuwa na aibu
Tulikubaliana

1Messi
2messi
3 messi

4pele

Wanafuata watajipanga wenyewe
 
Ronaldo na Messi umri sawa? Nikukumbushe wachezaji wengi mastaa humalizia soka kwenye ligi zisizo na ushindani mkubwa.Messi wa kombe la Dunia hawezi kuwa Messi wa ligi.
 
Messi hawezi kwenda uswekeni
Huyo Messi akifika umri wa Ronaldo hawezi kukataa dili kama lile. Endelea kuamini hivyo hivyo timu zote Ulaya zimemkataa wakati mwenzako anaenda kuingiza Tsh 16,000 kwa sekunde. Just imagine kwa kila pumzi unayoivuta au kuitoa unaingiza hiyo pesa.
 
Sio kwa wachezaji waliowahi kutwaa uchezaji bora
 
Nenda kaangalie takwimu za messi psg

Messi na ronaldo wamepishana mwaka tu

Ronaldo na Messi umri sawa? Nikukumbushe wachezaji wengi mastaa humalizia soka kwenye ligi zisizo na ushindani mkubwa.Messi wa kombe la Dunia hawezi kuwa Messi wa ligi.
 
Shida ya Ronaldo anaonesha mapungufu yake wazi wazi...

-Kujivuna..

-Kupenda sifa..

-Ujuaji mwingi...

Mwenzake ana mapungufu mengi tu ila ukimya umekuwa silaha ya kupendwa na vilabu vingi
Malezi mabaya aliyopitia, unajua tena single mother.
 
Hivi kwa akili yako unadhani yeye hana washauri au aache kwenda kuchukua mpunga mrefu ukizingatia na umri..
Unafikiri ameshindwa kuendelea kucheza ulaya kwa akili tu ya darasa la saba.
 
Hivi kwa akili yako unadhani yeye hana washauri au aache kwenda kuchukua mpunga mrefu ukizingatia na umri..
Unafikiri ameshindwa kuendelea kucheza ulaya kwa akili tu ya darasa la saba.
wabongo ujuaji mwingi yaani anajiona ana akili kuliko management ya Ronaldo, ukute hapo alipo mambo yake tu tight ila kupangia watu wanaomzidi ndio anacho jua
 
Ronaldo anafanya mazoezi mara 3 ya Messi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…