Mpira muda mwingine haupo fair, pole Wilfred Ndidi

Sasa kwanini Madrid hawataki mnunua huyo Ndidi badala yake wwnamkata Kante?
 
huko ndio usiende kabisa

key pass ambazo zinaweza kuzalisha assist average per match

kante
2015/16 ni 0.8
2016/17 ni 0.6
2017/18 ni 1.2
2018/19 ni 1.3
2019/20 ni 0.8

ukija Ndidi yeye ni kama hivi
2016/17 ni 0.4
2017/18 ni 0.4
2018/19 ni 0.6
2019/20 ni 0.5

hivyo by far kante ni bora zaidi kwenye kupiga pasi muhimu kushinda ndidi.
 
Katika maisha yako hautawahi kusikia Holding middifield tofauti na Kante akichukua uchezaji bora wa Epl ,pia utakuwa unaota Ndidi kuingia kwenye kikosi bora cha dunia.jambo la msingi akili yako ya kawaida sana kuwauliza swali watu wa mpira kwanini Ng'olo ni world class?Nimalizie kwa kusema MTU ana question integrity ability ya KANTE ni wa kupuuzwa kabisaaaaaa.
 
Huyu mwandika bandiko hakuna kitu anajua alichojitahidi kukusanya ni namba tu,dribbling ability ya Kante ni kiwango cha ajabu ,anateleza kama kambale anamfananisha Kante na Ndidi?Dunia ina maajabu
 
Sasa sneidjer mchezaji wa msimu mmoja anakaaje daraja moja na kina Cr7 na L10?
 
Kwamba unajifanya hujui kabisa kwamba Kante msimu huu hajacheza match nyingi kwa sababu ya majeruhi? .
 
Yaani Kati ya watu walioandika vitu vya hovyo na wewe humo! Huo umri wa Wachezaji wa Kiafrika ndio unauamini! 22 years my left foot!! Umemkosea Sana Ngolo,
 
Kante kacheza mechi chache kutokana na majeraha,
Kante anauwezo wa kushinda na kuamua matokeo hata kama mechi nzito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…