Mpira ni haram

Mpira ni haram

Kwa mujibu wa maelezo ya mtume B mpira ni haram kwa sabab yesu hajaufatilia wala kuuzungumzia kwa namna yoyote Ile

Na hata ktk vitabu vya biblia hakuna popote ulipozungumziwa

Najua mtapinga ila haitoshangaza kwa sabab hayo yalishatabiliwa kitambo tu.

Kubeti ~ mpira

Mkifungwa hmsa mnaanza kujifariji na utopolo huu🤣🤣
 
Sheiikh umetumia km kiwakilish ktk lugha ya kiarab au umetumia km statas ya mtu kwa mujibu wa dini ya kiislam???
Sasa wale Ndiyo masheikh halisi Siyo nyie wa maulidi.

Utajua sheikh kuliko Mwarabu na uislam wake.

Wengine huku mnaigiza tu. Mara kuvaa vpedo.
 
Km wale umewaelewa sana kuliko wa huku hakuna shida
 
Kwa mujibu wa maelezo ya mtume B mpira ni haram kwa sabab yesu hajaufatilia wala kuuzungumzia kwa namna yoyote Ile

Na hata ktk vitabu vya biblia hakuna popote ulipozungumziwa

Najua mtapinga ila haitoshangaza kwa sabab hayo yalishatabiliwa kitambo tu.
Simu na computer na jamiiforums ni haramu kwa sababu yesu hakuzizungumzia kabisa.
Najua utapinga kwa sababu ilishatabiliwa.
 
Zile tano zitawafanya mabwana hawa kuchukua muda mrefu sana kurudi kwenye utimamu wao
1968......…Yanga 5-0 Simba

1977.......... Simba 6-0 Yanga

2012…...... Simba 5-0 Yanga

2020...........Simba 4-1 Yanga( kombe la Azam)

2023....... Simba 1-5 Yanga

Hakuna Jambo jipya CHINI ya Anga.

Sema tu anaefurahi leo anafurahi zaidi na machungu alishayasahau.
 
Back
Top Bottom