Mpira ni haram

Mpira ni haram

Kwa mujibu wa maelezo ya mtume B mpira ni haram kwa sabab yesu hajaufatilia wala kuuzungumzia kwa namna yoyote Ile

Na hata ktk vitabu vya biblia hakuna popote ulipozungumziwa

Najua mtapinga ila haitoshangaza kwa sabab hayo yalishatabiliwa kitambo tu.
Katika kipindi cha mwanzoni cha mchezo soka, ikitokea katika mchezo uliokuwa maarufu wa Harpastam, viongozi wa dini ya Kikristo wa Uingereza waliipinga soka.

Kwa wakati huo mchezo huu ulikuwa ukichezwa zaidi katika muda ambao ibada zilikuwa zikifanyika na sehemu kubwa ya watu walikuwa viwanjani.

Na kama inavyojulikana, jamii ya Freemasons ndiyo walikuwa wa kwanza kuuwekea mkazo mchezo wa soka, na kikao cha kwanza cha kutunga sheria za mchezo kilifanyika kwenye jumba lao la ibada, Uingereza.

Huenda ndiyo maana mambo mengi ya soka yanaendana na namba muhimu za jamii hiyo. Kama vile muundo wa pitch kuwa ikifanana na sakafu ya majumba ya ibada ya jamii hiyo.

Kuchezwa dakika 90 (9+0=9), kwa dakika 45 (4+5=9) kwa kila kipindi. Pia, idadi ya wachezaji 11 kila upande, na waamuzi 3.

Sababu hii huenda ndiyo ilifanya viongozi wa dini kukataa soka, kwa kuwa walifahamu malengo ya jamii hiyo dhidi ya dini za Amri 10 za Mungu.

Ova
 
Kwa mujibu wa maelezo ya mtume B mpira ni haram kwa sabab yesu hajaufatilia wala kuuzungumzia kwa namna yoyote Ile

Na hata ktk vitabu vya biblia hakuna popote ulipozungumziwa

Najua mtapinga ila haitoshangaza kwa sabab hayo yalishatabiliwa kitambo tu.
Kuna andiko ndani ya Biblia na Quran limetaja japo neno "mpira"?
 
Zile tano zitawafanya mabwana hawa kuchukua muda mrefu sana kurudi kwenye utimamu wao
Simba ni timu kubwa na kila timu ndogo ina ndoto ya kuifunga Simba. Ukiifunga Simba, hauna tofauti na kuifunga Al Hilal, Wydad, Mamelod au Al Ahly
Ushindi wa Yanga kwa Azam au Yanga na Singida siyo ushindi wa Yanga kwa timu kubwa kama Simba.
Mashabiki wa Yanga wakiifunga Simba, watasheherekea mwaka mzima wakikumbuka ushindi.
Yanga imeifunga timu ngapi 5? Lkn ushindi unaukumbukwa ni wa timu kubwa wa Simba tu.
Wakishindania hata vimedali huko lazima waitambie na kujilinganisha na Simba na siyo Ihefu, Ndanda, Azam au Singida.
Huu ushindi watakumbuka mwaka mzima😁😁😁😁😁😁😁
 
Huu ushindi watakumbuka mwaka mzima
 
Kwa mujibu wa maelezo ya mtume B mpira ni haram kwa sabab yesu hajaufatilia wala kuuzungumzia kwa namna yoyote Ile

Na hata ktk vitabu vya biblia hakuna popote ulipozungumziwa

Najua mtapinga ila haitoshangaza kwa sabab hayo yalishatabiliwa kitambo tu.
Acha kuvamua dini za watu.
 
Simba ni timu kubwa na kila timu ndogo ina ndoto ya kuifunga Simba. Ukiifunga Simba, hauna tofauti na kuifunga Al Hilal, Wydad, Mamelod au Al Ahly
Ushindi wa Yanga kwa Azam au Yanga na Singida siyo ushindi wa Yanga kwa timu kubwa kama Simba.
Mashabiki wa Yanga wakiifunga Simba, watasheherekea mwaka mzima wakikumbuka ushindi.
Yanga imeifunga timu ngapi 5? Lkn ushindi unaukumbukwa ni wa timu kubwa wa Simba tu.
Wakishindania hata vimedali huko lazima waitambie na kujilinganisha na Simba na siyo Ihefu, Ndanda, Azam au Singida.
Huu ushindi watakumbuka mwaka mzima[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sahih
 
Back
Top Bottom