Mpira ni Matokeo au Burudani ?

Mpira ni Matokeo au Burudani ?

naangali gemu hapa kutoka bernabeu real wamepaki basi wanapiga counter tu ...chelsea wakifanya hivi utaanza kuzisikia kelele ha ha ha ha ha ha ......watu bwana
 
KeyserSoze

Unasema; "Kwanini watu wanapenda kuangalia Barcelona kila inavyocheza ? Neutrals au sio Neutrals..; Kwanini watu huwa wanasema dah ile fainali ilikuwa nzuri au ile ilikuwa mbaya ? watu huwa wanaangalia mpira ili wapate nini mwisho wa siku ushindani na kujitahidi kushinda au matokeo mwisho wa siku kwamba hawakufungwa ? Kwanini baadhi ya Timu kila zikicheza uwanja unajaa na nyingine uwanja unakuwa mtupu ? Ukijibu hayo utagundua kwamba aina ya mpira inavutia watu kuangalia soka ndio maana Brazil always ikicheza watu wengi ulimwenguni wanawaangalia (Attractive Football)"

Hawa ni watu gani unaowazungumzia wewe? Unaweza ukatuonesha? Wako wangapi? Nani kakwambia watu wanapenda kuangalia Barcelona? Watu gani hao? Me mbona siipendi Barcelona? Hata shifta najua hapendi, wewe umepata wapi hizi data?

Hizi ni opinions zako, which you are entitled to, but they are not even close to vivid data. Mwingine anaweza kuziita porojo vilevile.

Bundesliga kwa miaka/misimu miwili iliyopita ndio ilikua ligi inayoongoza kujaza watu uwanjani dunia nzima, Kwa nini isiwe La Liga zinakotoka Barcelona na Madrid zako unazosifu kucheza soka zuri? Na kwanini isiwe EPL inayoangaliwa na watu wengi?

Huko Brazil unakosema unajua hata average ya maudhurio ya washabiki viwanjani? Au unaropoka tu? Una habari kuwa the average attendance in last year's first division was just below 15,000.
 
Last edited by a moderator:
Hapa hakuna unafiki ndio maana nikataja maneno aliyosema Jose mwenyewe kuhusu West Ham kwamba wanacheza 19th Century Football au msemo wa kupaki basi aliuleta Jose mwenyewe siku walivyocheza na Spurs wakatoa draw akasema kule Ureno hii huwa tunaita kwamba Timu inakuja na basi lao wanalipaki golini..., sasa na mimi kama Neutral nikiangalia soka lao je nakatazwa nikisema Jose ni Godfather of Boring ?

Na unavyosema kwanini Moyes kafukuzwa kazi ?, ni kwamba performance yake imekuwa mbovu sana kuliko expectations Man United haijawai kufanya vibaya hivi kwa miaka mingi sana, alafu si kweli kwamba Moyes anacheza free flowing football kama Man United walivyozoea ni kwamba na yeye yupo Negative.., ndio maana wengine walilalamika anakata kuibadilisha Man United iwe kama Everton yake.., Game kama waliyocheza na Bayern nyumbani au ile waliyocheza na Chelsea nyumbani inaweza ikakupa jibu ninamaanisha nini na Boring...

Pia sijasema Burudani inamaanisha kushindwa game.., unaweza mwisho wa siku ukafungwa lakini umejaribu.., na hata magoli mkitufunga ila chenga twawala (msemo wa ndugu zetu wan Zanzibar)

na kati ya man u ya moyes na man u y fargie, ipi ilikua inacheza mpira mb0vu?!, hizo expectations ni kupata vikombe au kucheza soka la kuvutia?! ..............
 
we tatizo lako thread yako imekaa kinafik nafiki zaid!" ungeanzisha bila kutaja chels cjui wamapaki basi final, ndio mana nikauliza gemu la atletico vs barcelona uliangalia?! uliona atletico walivyocheza?! siyo unashupalia chels chels!" 2achane na hay0 ........... nikuulize swali jingine " je unafikiri ni kw nn Moyes amefukuzwa?" na timu ilikua inacheza vizur hata hao chels hawaoni ndani.
Huyu jamaa anaweza akawa mwongo,eti anashabikia timu ya mtaani,inaonekana timu yake ni man u au arsenal ila anaogopa kusema,..hata siku moja sijawahi kuchoka kuangalia mechi za chelsea,hasa inapokutana na timu kubwa,mfano majuzi ilipocheza na PSG halafu jana na ATM,hivi unaweza sema hizo mechi ziliboa?
 
hajiamin ndio mana hata timu anayoishabikia anaogopa kuitaja!" .......... km chels ingekua inaboa ungekuta uwanjani haingii m2, yy aangalie darajan wiki ijayo utakavyoshona watu, yy mwenyewe lazima aangalie, km mpira w chels ameona unaboa anaangalia wa nn?!"
 
Mimi ninachoamini ni kuwa timu yeyote inataka mafanikio. Na mafanikio ni kupata vikombe. Wachezaji wote wanaocheza vilabu vikubwa ni profesional players. Kocha ndio anapanga timu ichezeje. Mchezaji yeyote naye anataka mafanikio. Nae mafanikio ni kupata vikombe, medali, tuzo nk.

Kwa mfano: wachezaji kama Samir Nasri, Gael Clich, Alex Song, Ces Fabrigaz, Thierry Hendry, na hata kiungo shoka Patrick Viera waliondoka pale Arsenal ikiwa inacheza mpira mzuri na wa kuvutia. Hawakutaka kuvuja jasho wabaki kusifiwa. Waliondoka kusaka mafanikio. Na wote huko walikokwenda wamepata vikombe.

Kuna vilabu vina philosofi yake, barcelona kwa mfano tangu enzi za Cruffy, Rijkard, Guandiola, Vila nova na sasa Tata Martino. Soka lao halibadiliki lile lile. Kuhusu soka la italia, soka lao ni gumu, wachezaji wapo na nguvu kweli. Kuna wachezaji wanaocheza epl hawawezi kufit kule serie A. Ila wa serie A wanafit kule epl

Usijali njia ipi utapita kukufikisha unapokwenda.
 
Mpira ni magoli, ndi maana, pointi nyingi hupewa aliyefunga magoli mengi, kama umezidiwa magoli hupewi pointi...........
Cheza sana, piga chenga nyingi, ila ucpofunga magoli ww ni ziiiiiiiiiii
Kama unataka burudani c ukawaone msondo, au tot na ikibidi jahazi
 
Huyu mwanzisha uzi; "KeyserSoze" anachukia sana Chelsea FC na 'falsafa' ya Jose Mourinho.

Kwa ufupi kama kweli mpira ni burudani bila kujali matokeo; KWA NINI TUNAWALAUMU TAIFA STARS?

KeyserSoze

Unasema; "Kwanini watu wanapenda kuangalia Barcelona kila inavyocheza ? Neutrals au sio Neutrals..; Kwanini watu huwa wanasema dah ile fainali ilikuwa nzuri au ile ilikuwa mbaya ? watu huwa wanaangalia mpira ili wapate nini mwisho wa siku ushindani na kujitahidi kushinda au matokeo mwisho wa siku kwamba hawakufungwa ? Kwanini baadhi ya Timu kila zikicheza uwanja unajaa na nyingine uwanja unakuwa mtupu ? Ukijibu hayo utagundua kwamba aina ya mpira inavutia watu kuangalia soka ndio maana Brazil always ikicheza watu wengi ulimwenguni wanawaangalia (Attractive Football)"

Hawa ni watu gani unaowazungumzia wewe? Unaweza ukatuonesha? Wako wangapi? Nani kakwambia watu wanapenda kuangalia Barcelona? Watu gani hao? Me mbona siipendi Barcelona? Hata shifta najua hapendi, wewe umepata wapi hizi data?

Hizi ni opinions zako, which you are entitled to, but they are not even close to vivid data. Mwingine anaweza kuziita porojo vilevile.

Bundesliga kwa miaka/misimu miwili iliyopita ndio ilikua ligi inayoongoza kujaza watu uwanjani dunia nzima, Kwa nini isiwe La Liga zinakotoka Barcelona na Madrid zako unazosifu kucheza soka zuri? Na kwanini isiwe EPL inayoangaliwa na watu wengi?

Huko Brazil unakosema unajua hata average ya maudhurio ya washabiki viwanjani? Au unaropoka tu? Una habari kuwa the average attendance in last year's first division was just below 15,000.
 
WINNING is the ONLY OPTION.🙂
Ni kipi cha muhimu sana kwa washabiki ?, Je is football game of results ? au ni bora hata tukifungwa ila chenga twawala ?

Ni maneno mengi yamesemwa hata The GodFather of Boring (Jose Maurinho) alisema kwamba Westham inacheza 19th Century Football !!! ila tukiangalia ile Chelsea iliyoshinda ile Champions League kwakweli ilikuwa a sad day in football..

Swali langu ni kwamba Timu haina wajibu wa kuhakikisha kwanza inaburudisha ? Nina uhakika bila Brazil, Barcelona and Arsenals of this world..., mpira usingekuwa unaitwa the Beautiful Game...., Mpira ambao ni Negative utakupeleka so far ila baada ya kushinda Kombe hata mwaka mmoja mashabiki watachoka na kudai zaidi.., na ukiendelea hivyo unaweza kujikuta watu wanaacha kuangalia..For the good of Football ni bora mashabiki wakakemea hii cancer ya kupaki mabasi (Turudi kwenye Imani ya Kwamba Attack is the Best Defense)
 
Good results are always entertaining.
Winning is entertaining(truth).Beautiful games are boring if you get nothing at end.
I better play bad but win the game by collecting all points than playing well and win nothing like Arsenal...(a fan joke)
 
i say it now because there is a tendency of results by all means.., na ni ukweli usiopingika kwamba haina hii ya negativity itafanya watu wasipende mpira.., kuna sababu kwanini italian football haiangaliwi sana (defensive) na kuna sababu timu kama ajax, barcelona, real madrid zinapendwa hata na neutrals.., ni ukweli usiopingika kwamba negativity in the long run inaua mpira na kupoteza mashabiki..

Ndio unaweza ukashinda makombe kwa kuwa negative (hata greece ilishinda kombe la ulaya) lakini kila mtu akitumia hii negativity (sio kwamba hawawezi) watu wataacha kuangalia mpira..

nakuunga mkono hali hii ikiendlea nitakuwa wwwe, rugby au basketbal!!!!
 
Mashabiki wanataka kushinda mechi zote,kisha kuchukua vikombe baaaaasi.
 
Bundesliga kwa miaka/misimu miwili iliyopita ndio ilikua ligi inayoongoza kujaza watu uwanjani dunia nzima, Kwa nini isiwe La Liga zinakotoka Barcelona na Madrid zako unazosifu kucheza soka zuri? Na kwanini isiwe EPL inayoangaliwa na watu wengi?

Huko Brazil unakosema unajua hata average ya maudhurio ya washabiki viwanjani? Au unaropoka tu? Una habari kuwa the average attendance in last year's first division was just below 15,000.

Hivi mkuu unaelewa maana ya the most watched league in the world au ? Pia ni nani amesema Bundesliga inaboa ?, pia unataka watu Brazil wajae vipi na viwanja vyao capacity yao ipo vipi..? (Alafu hapa kumbuka naongelea Brazil as National Team inavyopendwa ulimwenguni) Hapa nimeongelea most watched nikimaanisha kwenye luninga.., na hapo ni EPL, La Liga, Bundesliga, Serie A.., alafu watu kujaa viwanjani inategemea na culture ya nchi.., England mpira ni regional, watu wengi wanashabikia timu za kwao kwahio mahudhurio ni mazuri uwanjani na ndio pass time yao kwenda uwanjani kuangalia live.., tofauti na nchi nyingine wenyewe hata kuanglia kwenye TV its okay.

Alafu unaposema mashabiki mkuu sidhani kama All the big Teams ni matatizo kwao kujaza viwanja.., kutokana na following kubwa na pia kuwa na Stars kibao.., Ila kwa World Wide following League as a whole Premier League inaangaliwa sana sababu ya pace La Liga Technical Abilities ni za Kumwaga; Bundesliga pia League yao ina pace ya kutosha, Serie A sio kwamba haiangaliwi ila kulinganisha na hizo counterparts inakuwa ya nne na average goals scored kwenye games huwa ni ndogo (ingawa sio necessarily kwamba inaboa), Sasa unapotaka /unasema kwanini Brazilian League haiangaliwi kama hao wenzao wakati stars wao wengi wa Brazil wote wapo kwenye hizo nchi nilizotaja hapo juu nashindwa kuelewa unataka kusema nini ?

Pia hapa point ni kwamba kwa Timu kuweka msisitizo mkubwa kwenye kutokufungwa kama kunapunguza ile burudani hence watu wengi kupenda kuangalia, na Je kama Kocha/Timu ina wajibu wa kucheza mpira wa kuvutia au wajibu wake ni kushinda games pekee.
 
I say it now because there is a tendency of results by all means.., na ni ukweli usiopingika kwamba haina hii ya negativity itafanya watu wasipende mpira.., kuna sababu kwanini Italian Football haiangaliwi sana (defensive) na kuna sababu Timu kama Ajax, Barcelona, Real Madrid zinapendwa hata na Neutrals.., Ni ukweli usiopingika kwamba Negativity in the long run inaua mpira na kupoteza mashabiki..

Ndio unaweza ukashinda Makombe kwa kuwa Negative (Hata Greece ilishinda Kombe la Ulaya) lakini kila mtu akitumia hii negativity (sio kwamba hawawezi) watu wataacha kuangalia mpira..

J
Nimekuwa shabiki wa italian and germany national teams sababu ya aina hii ya soka unayoiponda hapa.usichojua wewe binadamu tu tofauti sana.ngoja chelsea wakawagonge atletico ukasirike vizuri.
 
Mashabiki wanataka kushinda mechi zote,kisha kuchukua vikombe baaaaasi.

Kwahio tuseme kila nchi kuna Timu kama nne tu ambazo huwa zinafanya kazi yake ?, sasa kina Mbeya City, Everton, Toto, Kagera Sugar, Aston Villa, West Bromwhich, West Ham wanafanya nini kwenye league ? Pia unamaanisha kila anayeangalia mpira kwenye kila game lazima awe anashabikia Timu fulani ?

Au unadhani kwenye baadhi ya Cup Competitions kwanini waliweka goli la ugenini ? au kwanini kwa sasa wamejaribu kubadilisha off side tricks ili kuwa-favor washambuliaji
 
J
Nimekuwa shabiki wa italian and germany national teams sababu ya aina hii ya soka unayoiponda hapa.usichojua wewe binadamu tu tofauti sana.ngoja chelsea wakawagonge atletico ukasirike vizuri.
Sijaponda Italian Football wala Germany teams.., alafu kwa sasa sidhani kama kuna Timu inayovutia kama German National Team (kwa sasa) na hata ya kipindi kile ilikuwa inasifika kwa pasi ndefu ndefu na kasi ya ajabu.. alafu Italian National Team ya Kina Baggio n.k. sidhani kama ilishawahi kuboa hata siku moja.., au katika the great Teams in the World zilizoshapita sidhani kama unaweza kuisahau AC Milan.., point ya kusema kuhusu Italian league ni defensive ni katika comparison na league kubwa nyingine.., magoli ni machache na ndio hapa nika-conclude kwamba hizi nyingine duniani zinaangaliwa zaidi kutoka na aina ya mpira..

Pia kumbuka kuna tactics za kuwa defensive na counter attacks ambazo bado zikavutia na kuna kupaki Basi kwa uoga wa kufungwa inayopelekea game kudolora mfano mzuri ni Bayern ya Pep kuna watu wanasema ameiharibu ile Bayern kwa kutaka kuifanya kama Barcelona.., yaani kuondoa ile Pace na jana ingawa walimiliki mpira zaidi ila bila penetration haikusaidia kitu.., Ila to be honest ile game ya jana ingekuwa na kina Zidanne na Roberto Carlos unadhani wangecheza hizo tactics ? au tungepata a more open game ?
 
Sasa naona unambwelambwela tu, mwanzoni kabisa nilikuomba maana ya negative football kuzuia hizi sarakasi, kama mwanasiasa ukalikwepa hilo, sasa kuna sababu zinazokufanya uandike porojo hizi

1.Hujui kuwa vitu kama burudani, kuboa, ni subjective, burudani yako wewe inaweza kuwa kero kwangu, kinachoniburudisha mimi kinaweza kuwa kinamboa juve2012, halafu sidhani kama mpira unaweza kuburudisha watu wakaridhika kama wanafungwa lakini wanacheza mpira mzuri

2.Huna data za kutosha kuhusiana na vitu unavyojifanya unajua, kwa mfano kuhusiana na Serie A, hujui sababu zilizolifanya soccer la Italia kufikia hapo lilipo, umekazana na negative football ambayo hata maana yake huna au hujui

3.umejivika uwakili wa kuwasemea watu bila ridhaa yao, eti watu wanapenda Barcelona akicheza ila umesahau wapo watu wengine wengi tu hawapendi mpira wa Barcelona. Wapo wanapenda mpira wa Barca, wa ATM, wa Chelsea, wa Juventus, wa B.Dortmund n.k ila wewe umechagua tu wale wa Barca na Madrid ku-generalize tu ili ku-support porojo zako

4.Umesahau soccer ni biashara
mwisho wa siku kinachomata kwenye soccer ni ushindi/points tatu mezani, hizo ndio zitakupa vikombe, medali na pesa zinazokusaidia kuendesha hizo club.
 
Mkuu tumekufa tayari huko ureno,hebu rudi kule ukapambane na pachanya,mie simuwezi maana lile goli la mapema limenipa maumivu ya kichwa hadi nashindwa kugida watermelon langu hapa dah!
 
Last edited by a moderator:
Hivi mkuu unaelewa maana ya the most watched league in the world au ? Pia ni nani amesema Bundesliga inaboa ?, pia unataka watu Brazil wajae vipi na viwanja vyao capacity yao ipo vipi..? (Alafu hapa kumbuka naongelea Brazil as National Team inavyopendwa ulimwenguni) Hapa nimeongelea most watched nikimaanisha kwenye luninga.., na hapo ni EPL, La Liga, Bundesliga, Serie A.., alafu watu kujaa viwanjani inategemea na culture ya nchi.., England mpira ni regional, watu wengi wanashabikia timu za kwao kwahio mahudhurio ni mazuri uwanjani na ndio pass time yao kwenda uwanjani kuangalia live.., tofauti na nchi nyingine wenyewe hata kuanglia kwenye TV its okay.

Alafu unaposema mashabiki mkuu sidhani kama All the big Teams ni matatizo kwao kujaza viwanja.., kutokana na following kubwa na pia kuwa na Stars kibao.., Ila kwa World Wide following League as a whole Premier League inaangaliwa sana sababu ya pace La Liga Technical Abilities ni za Kumwaga; Bundesliga pia League yao ina pace ya kutosha, Serie A sio kwamba haiangaliwi ila kulinganisha na hizo counterparts inakuwa ya nne na average goals scored kwenye games huwa ni ndogo (ingawa sio necessarily kwamba inaboa), Sasa unapotaka /unasema kwanini Brazilian League haiangaliwi kama hao wenzao wakati stars wao wengi wa Brazil wote wapo kwenye hizo nchi nilizotaja hapo juu nashindwa kuelewa unataka kusema nini ?

Pia hapa point ni kwamba kwa Timu kuweka msisitizo mkubwa kwenye kutokufungwa kama kunapunguza ile burudani hence watu wengi kupenda kuangalia, na Je kama Kocha/Timu ina wajibu wa kucheza mpira wa kuvutia au wajibu wake ni kushinda games pekee.

Ona sasa unaanza kujikaanga mwenyewe na kumwaga povu. Wapi ulisema mambo ya Runinga? Kama unasema watu kujaa viwanjani ni kutokana na culture ya eneo husika, huoni unajipinga mwenyewe kwamba negative football ndio imesababisha hayo?

Pace ni nini? Unaweza kuthibitisha kuwa ni "pace" tu ndio inayofanya EPL kuangaliwa sana duniani kupitia Runinga na si sababu nyingine?

Mwanzoni ulivyosema watu wanapenda soccer la Brazil hukusema National team, umebanwa kwa facts unaanza kurukaruka like a headless chicken. Unajua average capacity ya viwanja vya Brazil? Swala la watu kuja uwanjani halina uhusiano na capacity ya kiwanja (labla ungesema quality) hata kama kiwanja kina uwezo wa kubeba watu 30k, mahudhurio kwa wastani yakiwa hayafiki 15k hapo kuna tatizo, huhitaji kuumia kichwa kulijua hilo.

Kumbe unajua kuwa wakati mwingine watu wanavutiwa kuangalia soccer la team/ligi fulani kwa sababu ya mastaa, au mastaa ndio hiyo "pace" uliyokazana nayo? Kuna ligi ina foreigners wengi zaidi ya EPL
 
Back
Top Bottom