Mpira ni mchezo wa hisia,leo nimemuona Aziz KI kwenye video chozi limenitoka.

Mpira ni mchezo wa hisia,leo nimemuona Aziz KI kwenye video chozi limenitoka.

Analia nin fala yule kakosa penat
Jombaa penalts shootouts hizo ni bahati tu jombaa, hizo wala si za kulaumu wachezaji, wanastahili kupongezwa.
Unaanzaje kuwalaumu Aziz Ki na Dickson Job na Ibrahim Baka kwa kukosa Penati halafu ujitie kusahau kazi nzuri na kujitoa kwai uwanjani kuluvyoifikisha timu hatua hiyo?
 
Mtu kabla ya kupiga penalty anachuchumaa kwanza😓
jamaa huzuni ilimjaaa alafu ukweli anaipenda yanga sana,we muangalie akiwa benchi mambo anayoyafanya thus why akili yake haikuwa sawa muda ule.
 
Back
Top Bottom