technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Upo sahihi kbsa mkuuUnajua kuna vitu ambavyo vinapswa kufikiriwa mara mbili kabla hujafanya maamuzi ya mwisho
1. Unapochagua mke/mume wa kuoa unatakiwa utulize akili sana
2. Unapochagua timu ya kushabikia hapa unatakiwa uongeze umakini sana maana wengi wameingia mkenge.
Mfano umechagua Yanga halafu unajijua kabisa we ni mwepesi wa pressure, ndugu yangu upo kwenye high risk.
Utakufa kwa pressure siku ya msiba watu watasema uzembe wa marehemu
Duh! Inasikitisha Sana
Unataka nimcheke marehemu nipate dhambi mkuu.Unajua kuna vitu ambavyo vinapswa kufikiriwa mara mbili kabla hujafanya maamuzi ya mwisho
1. Unapochagua mke/mume wa kuoa unatakiwa utulize akili sana
2. Unapochagua timu ya kushabikia hapa unatakiwa uongeze umakini sana maana wengi wameingia mkenge.
Mfano umechagua Yanga halafu unajijua kabisa we ni mwepesi wa pressure, ndugu yangu upo kwenye high risk.
Utakufa kwa pressure siku ya msiba watu watasema uzembe wa marehemu
Kupevuka [emoji23][emoji23][emoji23]Sure...umepevuka
Ila ukichagua Makolo,hufi hata na pressure,utakufa kwa pressure,kisukari, stroke yote yakikushambulia kwa pamoja,hapo fikiria uwezekano wa kupona,bora uepuke kusikia hata neno kolo tu utaishiπππ.Unajua kuna vitu ambavyo vinapswa kufikiriwa mara mbili kabla hujafanya maamuzi ya mwisho
1. Unapochagua mke/mume wa kuoa unatakiwa utulize akili sana
2. Unapochagua timu ya kushabikia hapa unatakiwa uongeze umakini sana maana wengi wameingia mkenge.
Mfano umechagua Yanga halafu unajijua kabisa we ni mwepesi wa pressure, ndugu yangu upo kwenye high risk.
Utakufa kwa pressure siku ya msiba watu watasema uzembe wa marehemu
Ndo kwanza mayele na Inonga aliewakanda wanakumbatiana ww unakufa..Akati wachezaji wenyewe hata hawajaumia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]