Mpira ni sitarehe

Mpira ni sitarehe

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Mpira ni starehe ukifungwa kibali Maisha yaendelee.

Tusifanye mpira kuwa vita au imani za ki biblia au Quran.

Waliogundua mpira waligundua ili ajira ziongezeke.

Hawa wachezaji Wana Maisha baada ya game.

Mambo ya kufa kisa timu imefungwa ni ushamba.!!

Binafsi jana baada ya game nimekaa na washikaji zangu wa simba tukapiga bia mpaka mida ya saa 9 hivi leo.

Maisha yenyewe mafupi mke anisumbue, watoto wanisumbue na timu inisumbue.

Hebu tuache mpira uwe starehe hatutateseka!!!
 
Unajua kuna vitu ambavyo vinapswa kufikiriwa mara mbili kabla hujafanya maamuzi ya mwisho

1. Unapochagua mke/mume wa kuoa unatakiwa utulize akili sana

2. Unapochagua timu ya kushabikia hapa unatakiwa uongeze umakini sana maana wengi wameingia mkenge.

Mfano umechagua Yanga halafu unajijua kabisa we ni mwepesi wa pressure, ndugu yangu upo kwenye high risk.

Utakufa kwa pressure siku ya msiba watu watasema uzembe wa marehemu
 
c601c6be-8abe-4d75-be4b-fa15d90be575.jpg
 
Upo sahihi kbsa mkuu
 
Unataka nimcheke marehemu nipate dhambi mkuu.
 
Mpira ukiufuatilia sana ni kama uchizi, watu 22 wanakimbiza mpira mmoja wakati kuna mipira mingine mingi nje, ni uchizi
 
Iwe mpira ,uwe ushabiki wa kiimani au kikabila ni jambo la dk na maisha yanaendelea ..

Tunaendelea kushirikiana mambo hayo yanaisha hapo hapo .Ukiona mtu anayaweka rohoni ujue ana matatizo ya chuki na ubinafsi.
 
Unajua kuna vitu ambavyo vinapswa kufikiriwa mara mbili kabla hujafanya maamuzi ya mwisho

1. Unapochagua mke/mume wa kuoa unatakiwa utulize akili sana

2. Unapochagua timu ya kushabikia hapa unatakiwa uongeze umakini sana maana wengi wameingia mkenge.

Mfano umechagua Yanga halafu unajijua kabisa we ni mwepesi wa pressure, ndugu yangu upo kwenye high risk.

Utakufa kwa pressure siku ya msiba watu watasema uzembe wa marehemu
Ila ukichagua Makolo,hufi hata na pressure,utakufa kwa pressure,kisukari, stroke yote yakikushambulia kwa pamoja,hapo fikiria uwezekano wa kupona,bora uepuke kusikia hata neno kolo tu utaishi😂😂😂.
 
Back
Top Bottom