technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Mpira ni starehe ukifungwa kibali Maisha yaendelee.
Tusifanye mpira kuwa vita au imani za ki biblia au Quran.
Waliogundua mpira waligundua ili ajira ziongezeke.
Hawa wachezaji Wana Maisha baada ya game.
Mambo ya kufa kisa timu imefungwa ni ushamba.!!
Binafsi jana baada ya game nimekaa na washikaji zangu wa simba tukapiga bia mpaka mida ya saa 9 hivi leo.
Maisha yenyewe mafupi mke anisumbue, watoto wanisumbue na timu inisumbue.
Hebu tuache mpira uwe starehe hatutateseka!!!