Mpira, Rushwa na Siasa: Kales Karia wa TFF atakamatwa muda wowote, labda asikanyage Misri

Makada wa CCM wamezoea rushwa. Wamekula sana rushwa nchini sasa wameamua ku-export uzoefu wa kula rushwa hadi nje ya nchi, ona sasa wamemnasa huyu nzi wa kijani kama samaki kwenye ndoano. Nyambafu Wafaransa lazima wamtie kwenye 18 huyo Msomali
 
Kwa hapa nchini huyo jamaa yupo na mba mbili kwenye list ya watu ninaowachukia
 
Asipoenda huko Misri itakuaje? Kwani hawana uwezo wa kumkamata akiwa hapa nchini?
 
Naona umekazia hpo kwenye mwanachama mkubalifu wa..... Kumbe ishu inamhusu yeye na njaa zake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unamshangaa Karia kwa kuleta siasa kwenye mkutano usio wa kisiasa lakini hapo hapo na wewe unaleta siasa kwenye mada isiyo ya kisiasa.
 
Wamekali kupanga ushindi kwa simba na yanga tu!!! acha ile kwao😁😁😁😁😁😁
 
Ukicheki fainal game ya Caf Champions league utagundua mengi sana yaani hadi rais anaingia uwanjani kutatua mgogoro wa VAR yaani sisi tumelaaniwa na nani jamani duuh ni hatari sana. Wakamatwe tu maana nasikia hata marafiki zake wale wengine wamekutwa na skandali kama hiyo na wengine wako nyuma ya nondo.
 
Unamshangaa Karia kwa kuleta siasa kwenye mkutano usio wa kisiasa lakini hapo hapo na wewe unaleta siasa kwenye mada isiyo ya kisiasa.
hakuna Shida mkuu kwani ile barua ya chadema kwa FIFA kuhusu Karia kuingiza siasa kwenye michezo ilishafika FIFA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…