Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Hahahha Wallace au imekuwa Wallet sababu ya hayo mapauni ya malkiaAnaitwa wallet karia rekebisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahha Wallace au imekuwa Wallet sababu ya hayo mapauni ya malkiaAnaitwa wallet karia rekebisha
Jeuri ya ccm haivuki NamangaAna nguvu ya Ccm... Haguzwi
Wew huoni mabeberu tumewapiga knock out, sasa hivi tunapeleka shehena ya mahindi ya misaada MarekaniJeuri ya ccm haivuki Namanga
bila shaka yoyote kwenye orodha yako bashite hakosekani.Kwa hapa nchini huyo jamaa yupo na mba mbili kwenye list ya watu ninaowachukia
Chui mwenye sura ya kondooKwa hiyo mkuu una maana kina malinzi wamepata wafuasi
Naona umekazia hpo kwenye mwanachama mkubalifu wa..... Kumbe ishu inamhusu yeye na njaa zake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kufuatia kukamatwa hapo jana kwa Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), Bwn. Ahmad Ahmad raia wa Madagascar, kuna kila ishara kuwa watakaofuatia katika kamata kamata hiyo ni Marais wa Mashirikisho ya Soka Tanzania(TFF), Bwana Wales Karia ambaye pia ni mwanachama mkubalifu wa CCM, pamoja na mwenzake wa Cape Verde kwa sababu ni mashahidi muhimu na watuhumiwa wa moja kwa moja wanaotajwa katika kashfa hiyo ya mlungula na kutakatisha fedha - inawezekana hata Waziri Mwakyembe pia akatumbukia mle mle - labda wasikanyage Misri kwenye mashindano ya AFCON.
Bwana Ahmad anatajwa kumwelekeza aliyekuwa Katibu Mkuu wa CAF Bwn. Amr Fahmy kufanya malipo yasiyo halali ya dola za Marekani 20,000 kwa kila mmoja wa Marais wa Soka wa Tanzania na Cape Verde, Bwn.Fahmy aliamua kutoa taarifa ya suala hilo FIFA na ndipo alipofukuzwa kazi haraka haraka na Bwn.Ahmad.
Sasa mamlaka za kipolisi Ufarasa zimemtia pingu Bwn.Ahmad, wanatafutwa sasa waliopokea mlungula huo wa dola 20,000, Bwn.Wales Karia mwanachama mkubalifu wa CCM, pamoja na mwenzake wa Cape Verde, na wote walionufaika na mgawo huo(seemingly Mawaziri wa Michezo wa nchi husika).
Not long ago watu tulio na akili zetu tulishangaa mno motive ya Bwn.Karia kum-attack wazi wazi Kaka yetu Tundu Lissu kwenye Mkutano usio wa siasa wa TFF, kumbe mwenzetu alijua ana kimeo kinamnyemelea na alianza kupiga yowe hata kabla Polisi hawajagonga mlango wake ili apate msaada wa serikali inayokumbatia mafisadi ya hicho chama chake...Muda ni mwalimu mzuri sana!
View attachment 1120679
Alimfitini malinzi na wambura
Anaitwa wallet karia rekebisha
Hata wewe rekebisha, ni wallet carrier...!
[emoji23][emoji23] wakwanza nani?Kwa hapa nchini huyo jamaa yupo na mba mbili kwenye list ya watu ninaowachukia
hakuna Shida mkuu kwani ile barua ya chadema kwa FIFA kuhusu Karia kuingiza siasa kwenye michezo ilishafika FIFA?Unamshangaa Karia kwa kuleta siasa kwenye mkutano usio wa kisiasa lakini hapo hapo na wewe unaleta siasa kwenye mada isiyo ya kisiasa.