Ally maganga
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 1,433
- 913
Hii usemi wa fair play kwenye upande wa soccer naona si mahala pake.
Ebu tazama wachezaji wanavunjana tena kwa makusudi kabisa na huku refa akitoa mijicho yake tu.
Hivi kuna umuhimu gani wa kuendelea kutumia maneno Fair play wakati wachezaji hawapo fair?
Nimeumia sana leo mpaka nimeuchukia mchezo wa soccer.
Kwasababu zangu binafsi kuanzia leo sitoshabikia timu yoyote kutoka Ulaya.
Kwenye kombe la dunia timu zangu tano ni
1. Argentina
2.Brazil
3.timu zote za africa
4.Japan
5.Saudi Arabia
Kabla ya leo zilikuwa
1.Spain
2.Argentina
3.Belgium
4.Egypt
5.France
Soccer ni vita.
Wengine walipata div four na zero walichukuliwa wenye one na twoHivi wakuu how comes kombe ka dunia lina tim 32 halaf unakuwa na tim 5?
Ujue hiyo ni zaidi ya 1/8 ya tim zote. [emoji23]
Kumbukeni life is not FairUko Sawa, it is never fair play
Shabiki wa kugalagala wa Liverpool akionyesha majonzi yakeHii usemi wa fair play kwenye upande wa soccer naona si mahala pake.
Ebu tazama wachezaji wanavunjana tena kwa makusudi kabisa na huku refa akitoa mijicho yake tu.
Hivi kuna umuhimu gani wa kuendelea kutumia maneno Fair play wakati wachezaji hawapo fair?
Nimeumia sana leo mpaka nimeuchukia mchezo wa soccer.
Kwasababu zangu binafsi kuanzia leo sitoshabikia timu yoyote kutoka Ulaya.
Kwenye kombe la dunia timu zangu tano ni
1. Argentina
2.Brazil
3.timu zote za africa
4.Japan
5.Saudi Arabia
Kabla ya leo zilikuwa
1.Spain
2.Argentina
3.Belgium
4.Egypt
5.France
Soccer ni vita.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Wengine walipata fiv four na zero walichukuliwa wenye one na two
Uko sahihi saana mkuuWalioharibu Mpira
1. Ramos, hovyo sana huyu jamaa
2. Refa kufumbia macho uuwaji wa Ramos, kamuumiza Sala makusudi
3. Golikipa wa Liverpool, magoli mawili kawazawadia Real Madrid