Ally maganga
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 1,433
- 913
Hii usemi wa fair play kwenye upande wa soccer naona si mahala pake.
Ebu tazama wachezaji wanavunjana tena kwa makusudi kabisa na huku refa akitoa mijicho yake tu.
Hivi kuna umuhimu gani wa kuendelea kutumia maneno Fair play wakati wachezaji hawapo fair?
Nimeumia sana leo mpaka nimeuchukia mchezo wa soccer.
Kwasababu zangu binafsi kuanzia leo sitoshabikia timu yoyote kutoka Ulaya.
Kwenye kombe la dunia timu zangu tano ni
1. Argentina
2.Brazil
3.timu zote za africa
4.Japan
5.Saudi Arabia
Kabla ya leo zilikuwa
1.Spain
2.Argentina
3.Belgium
4.Egypt
5.France
Soccer ni vita.