Mpira sio mchezo wa kiungwana. Nimeacha rasmi kushabikia timu yoyote kutoka Ulaya!

Mpira sio mchezo wa kiungwana. Nimeacha rasmi kushabikia timu yoyote kutoka Ulaya!

Segio Ramos kweli ni mzoefu, game ilikuwa ngumu kwa RM hadi Mo alipotoka. Ingawa nilimuhurumia Mo bado nilifurah RMadrid kunyakua Ubingwa! Katika mpira watu km Ramos wanaumuhimu sana pale plani B inaposhindikana. Kumbuka enzi Uruguay

Hizo mbinu kwenye mpira zinatumika, inauma sana kama aliyeumia ni wa upande unaoushabikia.

Mo does not deserve to miss WC, hiki ndo kimeniuma zaidi.
 
teh teh teh!!.Mtoa mada bana.hv kwel ulitegea looserpul yako ihibuke kidedea kwel?. you are not serious men.
 
Unashabikia Argentina,Egypt kwahiyo tusingetegemea maoni tofauti na hayo uliyoyatoa
 
Hizo mbinu kwenye mpira zinatumika, inauma sana kama aliyeumia ni wa upande unaoushabikia.

Mo does not deserve to miss WC, hiki ndo kimeniuma zaidi.

Hapo sawa, mbinu zipo sanaaaa. Sema Mo ni mpole sana km mess, ila hii ya kumiss wc hata mimi imeniumiza mno daah.
 
Hapo sawa, mbinu zipo sanaaaa. Sema Mo ni mpole sana km mess, ila hii ya kumiss wc hata mimi imeniumiza mno daah.

Mimi ni mshabiki wa Liverpool, niliumia kwa alichokifanya Ramos, ila kimpira zile mbinu zinahusika sana.

Kumuumiza jamaa mpaka akose kombe la dunia ndo pigo kubwa zaidi.
 
Japo nilifurahi Liverpool kufungwa ila mpira uliharibiwa na Ramos. Mamlaka husika ni lazima wampe adhabu stahiki Ramos. Aliacha mpira na kuung'ang'ania mkono wa MO mpaka akaulalia na kumtegua bega. Challenge ya kipumbavu sana. Hii itabaki kwenye historia chafu ya mpira. Hata hivyo Liverpool haina safu ya kutosha kuifunga RM. Hata MO angekuwepo, RM wameonyesha mchezo wa kisayansi sana.
 
Mimi ni mshabiki wa Liverpool, niliumia kwa alichokifanya Ramos, ila kimpira zile mbinu zinahusika sana.

Kumuumiza jamaa mpaka akose kombe la dunia ndo pigo kubwa zaidi.

Sidhani km alifanya ile rafu ili amuumize, alimshika mkono wa kulia akaenda kuanguka vibaya akaumia bega la kushoto. Kwa rafu ile alijua angecheza tu kwani mpira unachezwa na mguu. Ndio hivyo tena poleni Uefa 2018 imeisha
 
sioni kosa la Ramos, nimeangalia hiyo incident zaidi ya mara tano, sijaona kosa la Ramos, sidhani kama he brought him down intentionally.
 
Sidhani km alifanya ile rafu ili amuumize, alimshika mkono wa kulia akaenda kuanguka vibaya akaumia bega la kushoto. Kwa rafu ile alijua angecheza tu kwani mpira unachezwa na mguu. Ndio hivyo tena poleni Uefa 2018 imeisha

Humjui Ramos, na hukuangalia mpira, au kama uliangalia ulikuwa uko bias.

Walipoanguka na mpira hauko around Ramos alikuwa na nafasi ya kumwachia jamaa, ila alihakikisha anauvuta mkono zaidi mpaka akamtengua bega. Rudia kuangalia ile rafu.
 
Hii usemi wa fair play kwenye upande wa soccer naona si mahala pake.

Ebu tazama wachezaji wanavunjana tena kwa makusudi kabisa na huku refa akitoa mijicho yake tu.

Hivi kuna umuhimu gani wa kuendelea kutumia maneno Fair play wakati wachezaji hawapo fair?

Nimeumia sana leo mpaka nimeuchukia mchezo wa soccer.

Kwasababu zangu binafsi kuanzia leo sitoshabikia timu yoyote kutoka Ulaya.
Kwenye kombe la dunia timu zangu tano ni
1. Argentina
2.Brazil
3.timu zote za africa
4.Japan
5.Saudi Arabia

Kabla ya leo zilikuwa
1.Spain
2.Argentina
3.Belgium
4.Egypt
5.France

Soccer ni vita.
Mbona kuumia uwanjani ni kitu cha kawaida sana, utaona ajabu kama hujawahi kucheza mpira aisee, kama vip shabikia michezo kama karata maana ndio hakuna kuumizan huko
 
labda pengine angekuepo salah tungekuq tunaongea mengine
ila mbona hamuzungumzii ya kipa haswa goli la kwanza na la 3
 
Hii usemi wa fair play kwenye upande wa soccer naona si mahala pake.

Ebu tazama wachezaji wanavunjana tena kwa makusudi kabisa na huku refa akitoa mijicho yake tu.

Hivi kuna umuhimu gani wa kuendelea kutumia maneno Fair play wakati wachezaji hawapo fair?

Nimeumia sana leo mpaka nimeuchukia mchezo wa soccer.

Kwasababu zangu binafsi kuanzia leo sitoshabikia timu yoyote kutoka Ulaya.
Kwenye kombe la dunia timu zangu tano ni
1. Argentina
2.Brazil
3.timu zote za africa
4.Japan
5.Saudi Arabia

Kabla ya leo zilikuwa
1.Spain
2.Argentina
3.Belgium
4.Egypt
5.France

Soccer ni vita.
Hamna mashindano rahisi, mashindano ni vita
 
Back
Top Bottom