Tissaphernes
JF-Expert Member
- Mar 27, 2018
- 2,902
- 3,560
Jogoo analiwa supu asubuhi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujinga ni kwa kocha kuingia uwanjani akiwa na plan ya kumtumia mo salah peke yake
Segio Ramos kweli ni mzoefu, game ilikuwa ngumu kwa RM hadi Mo alipotoka. Ingawa nilimuhurumia Mo bado nilifurah RMadrid kunyakua Ubingwa! Katika mpira watu km Ramos wanaumuhimu sana pale plani B inaposhindikana. Kumbuka enzi Uruguay
Mkuu unataka haribu mambo hapasi mnasemaga mpira ni haramu kwa imani yenu?
Hizo mbinu kwenye mpira zinatumika, inauma sana kama aliyeumia ni wa upande unaoushabikia.
Mo does not deserve to miss WC, hiki ndo kimeniuma zaidi.
Hapo sawa, mbinu zipo sanaaaa. Sema Mo ni mpole sana km mess, ila hii ya kumiss wc hata mimi imeniumiza mno daah.
Mimi ni mshabiki wa Liverpool, niliumia kwa alichokifanya Ramos, ila kimpira zile mbinu zinahusika sana.
Kumuumiza jamaa mpaka akose kombe la dunia ndo pigo kubwa zaidi.
Sidhani km alifanya ile rafu ili amuumize, alimshika mkono wa kulia akaenda kuanguka vibaya akaumia bega la kushoto. Kwa rafu ile alijua angecheza tu kwani mpira unachezwa na mguu. Ndio hivyo tena poleni Uefa 2018 imeisha
Mbona kuumia uwanjani ni kitu cha kawaida sana, utaona ajabu kama hujawahi kucheza mpira aisee, kama vip shabikia michezo kama karata maana ndio hakuna kuumizan hukoHii usemi wa fair play kwenye upande wa soccer naona si mahala pake.
Ebu tazama wachezaji wanavunjana tena kwa makusudi kabisa na huku refa akitoa mijicho yake tu.
Hivi kuna umuhimu gani wa kuendelea kutumia maneno Fair play wakati wachezaji hawapo fair?
Nimeumia sana leo mpaka nimeuchukia mchezo wa soccer.
Kwasababu zangu binafsi kuanzia leo sitoshabikia timu yoyote kutoka Ulaya.
Kwenye kombe la dunia timu zangu tano ni
1. Argentina
2.Brazil
3.timu zote za africa
4.Japan
5.Saudi Arabia
Kabla ya leo zilikuwa
1.Spain
2.Argentina
3.Belgium
4.Egypt
5.France
Soccer ni vita.
Hamna mashindano rahisi, mashindano ni vitaHii usemi wa fair play kwenye upande wa soccer naona si mahala pake.
Ebu tazama wachezaji wanavunjana tena kwa makusudi kabisa na huku refa akitoa mijicho yake tu.
Hivi kuna umuhimu gani wa kuendelea kutumia maneno Fair play wakati wachezaji hawapo fair?
Nimeumia sana leo mpaka nimeuchukia mchezo wa soccer.
Kwasababu zangu binafsi kuanzia leo sitoshabikia timu yoyote kutoka Ulaya.
Kwenye kombe la dunia timu zangu tano ni
1. Argentina
2.Brazil
3.timu zote za africa
4.Japan
5.Saudi Arabia
Kabla ya leo zilikuwa
1.Spain
2.Argentina
3.Belgium
4.Egypt
5.France
Soccer ni vita.