Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haina mfadala hiyo mzee na Maandamano FC.Ubingwa huo Jangwani kama kawa, kama dawa.
Kana kwamba mmesahau mliwahi pata ubingwa kwa njia hii duh, Ynga bhana
Yaani leo nilikuwa na shabiki wa simba baada ya Kagera kusawazisha kashangilia mpaka akajikwaa kama maskhara vile ikabidi mpira tena hauangaliziki safari ya hospital kapata matibabu akatulia kidogo ila mpira ulivyo isha na kupata matokeo kazidi kuumwa.
Mkuu walipigwa na Libolokama tunatia aibu ujue mngeenda nyie ndo mngetia aibu zaidi sie tunashirik sababu hakuna kama sisi kiubora tanzania
nyie wenyewe mara mwisho kushiriki mlipigwa 5-1 na el hadood
Ha haaaa... Libolo FC.....Mkuu walipigwa na Libolo
Haina mfadala hiyo mzee na Maandamano FC.
Tupo hospital tunasubiri majibu ya vipimo vya mionzi.Akomeeeeee
Waly acha kujitoa ufahamu mkuu, ikiwa kamati ya bodi ya ligi walikubali kwamba mchezaji Fakh alikuwa na kadi tatu za njano kuelekea mchezo wa Simba..sasa hayo maneno ya mkosaji yanatokea wapi? Yanga mkibanwa mbavu mnatoka pooovuuuu...acheni hizo bhana..tupo tayari kuelekea kwa watu wanaojua kusimamia sheria na kanuni za soka sio watu wenu wale wa mbeleko hah hah mwaka huu kazi mnayo kwa kuwa point tatu tunachukua plus ubingwa na mbao tunampiga mtajutraaaaa...periodManeno ya mkosaji yanga oye
Tupe mrejeshoHaha.. Mkuu nisharudi.
Duh!Haha.. Mkuu nisharudi.