Man Thom
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 732
- 905
Licha ya ushiriki wenu ngazi ya kimataifa Yanga inashika nafasi ya 330 jambo ambalo ni aibu kubwa kwa taifa la wapenda soka Tanzania, nadhani tukiwaachia hii nafasi mwaka huu mtazidi kutuaibisha kimataifa zaidi ndio maana tunawakazia, tambua Simba ilipotea kimataifa baada ya kuwapa vijana nafasi tofauti na nyie mnaokumbatia wazee hah hah kazi mnayoookama tunatia aibu ujue mngeenda nyie ndo mngetia aibu zaidi sie tunashirik sababu hakuna kama sisi kiubora tanzania
nyie wenyewe mara mwisho kushiriki mlipigwa 5-1 na el hadood