Mpira umeisha: Yanga 2 vs 1 Kagera Sugar toka uwanja wa Taifa

Mpira umeisha: Yanga 2 vs 1 Kagera Sugar toka uwanja wa Taifa

kama tunatia aibu ujue mngeenda nyie ndo mngetia aibu zaidi sie tunashirik sababu hakuna kama sisi kiubora tanzania
nyie wenyewe mara mwisho kushiriki mlipigwa 5-1 na el hadood
Licha ya ushiriki wenu ngazi ya kimataifa Yanga inashika nafasi ya 330 jambo ambalo ni aibu kubwa kwa taifa la wapenda soka Tanzania, nadhani tukiwaachia hii nafasi mwaka huu mtazidi kutuaibisha kimataifa zaidi ndio maana tunawakazia, tambua Simba ilipotea kimataifa baada ya kuwapa vijana nafasi tofauti na nyie mnaokumbatia wazee hah hah kazi mnayooo
 
Na mpiraaaaaaa umekwishaaaa.
Yanga moja kwa moja kileleni mwa ligi kuu.
Leo Yanga wamecheza mpira mzuri haijapata kutokea.

Hongereni Wanayanga Wote,anzeni kushona suti za kusherehekea ubingwa hahaha.
Daima Mbele,daima ushindi.
Cheers [emoji485]
 
hah hah unanichekesha sana mkuu, ndio maana ya kuwepo kwa sheria na kanuni zinazosimamia soka hapa nchini! Sheria zimewekwa ili zifuatwe aisee...mbona nyie hamjawaomba radhi watanzania kwa kuiangusha Tanzania viwango Caf ngazi ya club, kila mwaka ni aibu tu duh, hebu tupisheni na sisi tuwaoneshe mpira unavyochezwa ngazi ya kimataifa, chura ni chura tu hah hah
Mnapishwaje kwa mfano sasa? Kama ya ndani yanawashinda, nje mtaweza nyie? Fanyeni vizuri ya ndani, mshinde kwa halali, muende kutuwakilisha michuano ya kimataifa.

Na msingoje huruma hapa, hata mbao wanaweza fanya yao
 
Simba anatia huruma jinsi alivyoviziwa na tff kutangulia mechi
 
Bad wanaenda fifa jamaa wapate posho kusikiliza appeal yao
 
Na mpiraaaaaaa umekwishaaaa.
Yanga moja kwa moja kileleni mwa ligi kuu.
Leo Yanga wamecheza mpira mzuri haijapata kutokea.

Hongereni Wanayanga Wote,anzeni kushona suti za kusherehekea ushindi hahaha.
Daima Mbele,daima ushindi.
Cheers [emoji485]
DAIMA MBELEEEEEEE [emoji485][emoji485][emoji485][emoji485][emoji485][emoji485]
 
Mnapishwaje kwa mfano sasa? Kama ya ndani yanawashinda, nje mtaweza nyie? Fanyeni vizuri ya ndani, mshinde kwa halali, muende kutuwakilisha michuano ya kimataifa.

Na msingoje huruma hapa, hata mbao wanaweza fanya yao
ntamaholo Mbao tunambeba tunakimbia naye hah hah ushindi asubuhi kabisa, halafu nikuweke wazi tu kwamba, usifikiri Caf au Fifa huwa wanapindisha mambo, kama ipo ipo tu, let's just wait and watch' Simba tumeamuaaaa...liwake jua inyeshe mvua ubingwa lazima...
 
Sasa ndugu yangu ubingwa wa kuombaomba nao ni ubingwa? Ubingwa upatie uwanjani.
 
Back
Top Bottom