Mpira umeisha: Yanga 2 vs 1 Kagera Sugar toka uwanja wa Taifa

Maneno ya mkosaji yanga oye
Waly acha kujitoa ufahamu mkuu, ikiwa kamati ya bodi ya ligi walikubali kwamba mchezaji Fakh alikuwa na kadi tatu za njano kuelekea mchezo wa Simba..sasa hayo maneno ya mkosaji yanatokea wapi? Yanga mkibanwa mbavu mnatoka pooovuuuu...acheni hizo bhana..tupo tayari kuelekea kwa watu wanaojua kusimamia sheria na kanuni za soka sio watu wenu wale wa mbeleko hah hah mwaka huu kazi mnayo kwa kuwa point tatu tunachukua plus ubingwa na mbao tunampiga mtajutraaaaa...period
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…