Mbona kazi mnayo hah hah yangu mie macho na masikio tu...kazi kwenuDaaaaah namna gani Msuva pale? Alitakiwa kuusogeza mpira tu uingie wavuni.
Tumepoteza nafasi ya dhahabu.
Hahaha tusubiri na tuone kaka.Vyura leo lazima walale.
mkuu hii nimeipendaGooooooooo
Msuuuuuuuuva
Anaandkia goli zuri kabisa akiunganisha mpira wa kona.
Yanga Moja Kagera Bashite.
Nipo mkuu,kweli nimebadilika sana.Mh! Upo? Toka The bold akuweke kwapani umebadilika mnoo. Positively lakini
Endelea kuota.goooo kagera wanafunga goli moja pale
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Gooooooooo
Msuuuuuuuuva
Anaandkia goli zuri kabisa akiunganisha mpira wa kona.
Yanga Moja Kagera Bashite.