Mpira umeisha: Yanga 2 vs 1 Kagera Sugar toka uwanja wa Taifa

Mpira umeisha: Yanga 2 vs 1 Kagera Sugar toka uwanja wa Taifa

Dak ya 33 zilo zilo
 
namna gan pale naona juu ya tv yangu pameandikwa recorded nahic ni camera ya mtangazaji
 
Daaaaah namna gani Msuva pale? Alitakiwa kuusogeza mpira tu uingie wavuni.
Tumepoteza nafasi ya dhahabu.
Mbona kazi mnayo hah hah yangu mie macho na masikio tu...kazi kwenu
 
Kagera wanajaribu lakini shuti linaenda nje.!
 
Nipo kwenye bombardier naenda mtwara leten updates.

Kagera funga ao walevi
 
dak ya 43 Yanga Moja Kagera Bado Bashite.!
 
Back
Top Bottom