Mpira umeisha: Yanga 2 vs 1 Kagera Sugar toka uwanja wa Taifa

Gooooooooo moja moja....Mbaraka Yusufu anawaandkia Kagera goli....
1-1
 
Baraka Yussuph wa Kagera Suger keshachafua hali ya hewani
 
HT.
Kiukweli washambuliaji wa Yanga hawapo makini.
Hata ukiangalia goli letu tumelipata kupitia kona tofauti na wenzetu waliofanya juhudi kupata goli la kusawazisha.
Ningependa Hajj Mwinyi Ngwali apumzishwe,mchezo wa leo umemkataa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…