City Owl
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 3,475
- 7,571
[emoji23] [emoji23] [emoji23]namna gan pale naona juu ya tv yangu pameandikwa recorded nahic ni camera ya mtangazaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]namna gan pale naona juu ya tv yangu pameandikwa recorded nahic ni camera ya mtangazaji
Tuwe pamoja kwa dakika zote 90 mkuu,ili upate kushuhudia na kusikia kwa uzuri mambo ya Yanga.Mbona kazi mnayo hah hah yangu mie macho na masikio tu...kazi kwenu
Msuva kafuta makosa yake...[emoji122] [emoji122] [emoji122]Gooooooooo
Msuuuuuuuuva
Anaandkia goli zuri kabisa akiunganisha mpira wa kona.
Yanga Moja Kagera Bashite.
ahsante Kagera sugar hah hahGooooooooo moja moja....Mbaraka Yusufu anawaandkia Kagera goli....
1-1
Siku zote kiporo huwa na kawaida ya kuchacha hah hahDaaaaaaah Kagera wanasawazisha hapa kupitia Mbaraka Yusuph 1-1.
Hahahaha, Dada pole sana. Mnalala hili game.Goaaaaaaaaaaaallllllllllll
Simon Msuva
Yanga 1-0 Kagera Sugar
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wa misaada nenden tffDaaaaaaah Kagera wanasawazisha hapa kupitia Mbaraka Yusuph 1-1.
Hahaha tusubiri na tuone kaka.