Hivi stahiki zao wamepata kweli, hata kama ni mimi siwezi ku-perfom wakati wanaonitegemea wana njaa..mbona kazi ipo leo!HT.
Kiukweli washambuliaji wa Yanga hawapo makini.
Hata ukiangalia goli letu tumelipata kupitia kona tofauti na wenzetu waliofanya juhudi kupata goli la kusawazisha.
Ningependa Hajj Mwinyi Ngwali apumzishwe,mchezo wa leo umemkataa kabisa.
si umeona ndoto yang ilivyokuwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Endelea kuota.
Hahaha wewe haya weeeee,tuwepo tu hapa dakika zote 90.Hahahaha, Dada pole sana. Mnalala hili game.
Mungu saidia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Siku zote kiporo huwa na kawaida ya kuchacha hah hah
ushindweNaomba kiporo kichache ili kimwagwe tuuu hamna namna.
Huko FIFA mnakoenda mtaweza kulipia rufaa yake kweli?Hivi stahiki zao wamepata kweli, hata kama ni mimi siwezi ku-perfom wakati wanaonitegemea wana njaa..mbona kazi ipo leo!
Apply u kochaHT.
Kiukweli washambuliaji wa Yanga hawapo makini.
Hata ukiangalia goli letu tumelipata kupitia kona tofauti na wenzetu waliofanya juhudi kupata goli la kusawazisha.
Ningependa Hajj Mwinyi Ngwali apumzishwe,mchezo wa leo umemkataa kabisa.
k 48 kipindi cha kwanza????????? Haipo hiyo kitu. Kipindi mwisho dakika 45 tuNi mpambano wa Ligi kuu Vodacom... mpambano ndio umeanza dak ya 6....
Azam Spots HD wako live.!
Yanga 1-0 KGS
Msuva dak ya 39.
Yanga 1-1 KGS
Mbaraka Yusufu dak ya 48 kipindi cha kwanza.
Kipindi cha kwanza kimeisha mpira ni 1-1 mapumziko.
KabisaShabiki wa mikia utawajua tu.
Ndio mlivyozoea wa mkianiWa kubebwaa
Simba ni taasisi, ni club ya wanachama wanaojitambua na kusimamia weledi wa kiuongozi, mpaka tunafikia hatua hiyo fahamu fika tumejipanga na kwa kifupi tu, liwake jua inyeshe mvua ubingwa mwaka huu unakwenda Msimbazi..just take my word..Huko FIFA mnakoenda mtaweza kulipia rufaa yake kweli?
Kama mlishindwa kuwalipa TFF laki 3 itakuwaje kwa FIFA?
Hahahaaaaaaaa
Ziliongezwa dakika tano kipindi cha kwanza mkuu, so tunaweza sema 45+3 Kagera walipata goliD
k 48 kipindi cha kwanza????????? Haipo hiyo kitu. Kipindi mwisho dakika 45 tu