Man Thom
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 732
- 905
Hivi stahiki zao wamepata kweli, hata kama ni mimi siwezi ku-perfom wakati wanaonitegemea wana njaa..mbona kazi ipo leo!HT.
Kiukweli washambuliaji wa Yanga hawapo makini.
Hata ukiangalia goli letu tumelipata kupitia kona tofauti na wenzetu waliofanya juhudi kupata goli la kusawazisha.
Ningependa Hajj Mwinyi Ngwali apumzishwe,mchezo wa leo umemkataa kabisa.