Mpira umeisha: Yanga 2 vs 1 Kagera Sugar toka uwanja wa Taifa

Kaseja nae anaonyesha uwezo wake hapa
 
Afu #Nifah# na #Idawa# mjaribu kubalance mchezo mbonaa mnatoa updates ZENU tu kwan KAGERA SUGAR hawafiki golini????
Mpira unachezwa golini mwa Kagera mkuu,unataka tuweke updates gani?

Mbona Kagera waliposawazisha nilitoa update? (japo kwa shingo upande) hahaha
 
hah hah unanichekesha sana mkuu, ndio maana ya kuwepo kwa sheria na kanuni zinazosimamia soka hapa nchini! Sheria zimewekwa ili zifuatwe aisee...mbona nyie hamjawaomba radhi watanzania kwa kuiangusha Tanzania viwango Caf ngazi ya club, kila mwaka ni aibu tu duh, hebu tupisheni na sisi tuwaoneshe mpira unavyochezwa ngazi ya kimataifa, chura ni chura tu hah hah
 
Afu #Nifah# na #Idawa# mjaribu kubalance mchezo mbonaa mnatoa updates ZENU tu kwan KAGERA SUGAR hawafiki golini????
acha waendelee hivyo hivyo kagera sie hatuwajui hapa yanga tuu
 
Kagera wanaamka sasa tokea kipindi cha pili kilipoanza.
Muda wote mpira ulikuwa unachezwa golini mwa Kagera pekee.
 
88 dk..Kagera wanapata bao la kusawazisha...now n 2 kwa 2..
 
Mohammed Fakhi kaiokoa timu yake,almanusra Yanga waandike goli la 3.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…