Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpira unachezwa golini mwa Kagera mkuu,unataka tuweke updates gani?Afu #Nifah# na #Idawa# mjaribu kubalance mchezo mbonaa mnatoa updates ZENU tu kwan KAGERA SUGAR hawafiki golini????
Ayyyyaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!Bado dak 73 Yanga 2-1 KGS
ayyyyaaaaaaa!!!!!!! maaaweeeee!!!Bado magoli ni 2-1
Yanga wako mbele.
hah hah unanichekesha sana mkuu, ndio maana ya kuwepo kwa sheria na kanuni zinazosimamia soka hapa nchini! Sheria zimewekwa ili zifuatwe aisee...mbona nyie hamjawaomba radhi watanzania kwa kuiangusha Tanzania viwango Caf ngazi ya club, kila mwaka ni aibu tu duh, hebu tupisheni na sisi tuwaoneshe mpira unavyochezwa ngazi ya kimataifa, chura ni chura tu hah hahyaani nyie hamna kitu kila mwaka maneno hayo hayo na mwisho wa siku mnatoka kapa subiri uone ubingwa unaenda jangwan na confederation mnapigwa na mbao
ili muende mkadai hizo point vizur
yaan hamuon aibu kagera wamewashinda uwanjan nyie mnakomaa kudai point nje ya uwanja
nyie wa matopeni tu
Kabahatisha tu huyo hahahaKaseja nae anaonyesha uwezo wake hapa
Kabisa yaani.Nimekupendaje sasa? Yanga tunajua raha tu,maumivu yapo matopeni huko [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwakweli lazima nikiri,jamaa yuko njema.Huyu mbaraka ni bonge la mchezaji
linarudi sasaivi😵Dakika ya 79
Bado 2-1 Yanga wako mbele
acha waendelee hivyo hivyo kagera sie hatuwajui hapa yanga tuuAfu #Nifah# na #Idawa# mjaribu kubalance mchezo mbonaa mnatoa updates ZENU tu kwan KAGERA SUGAR hawafiki golini????
Mkuu kunywa maji hapo ulipo,nahisi umesimama kabisa maana kiti ni cha moto.linarudi sasaivi😵