Mpira umekuwa dini ya Watanzania umetufanya kuwa wapumbavu zaidi

Mto Songwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2023
Posts
6,683
Reaction score
14,060
Mpira umekuwa ndio dini yetu rasmi Watanzania.

Umetufanya na unazidi kutufanya kuwa wapumbavu kupindukia.

Sisi ni kizazi kilichopotea kina tangatanga kama kuku aliye katwa kichwa.

Uwepo wetu katika nchi yetu hauna maana dini hii iitwayo mpira inazidi kutuangamiza Watanzania kwa kutufanya wapumbavu kupindukia
 
Ww kaimbe mapambio tu. Usiforce watu wafanane na ww
 
Mpira umekuwa ndio dini yetu rasmi Watanzania.

Umetufanya na unazidi kutufanya kuwa wapumbavu kupindukia.

Sisi ni kizazi kilichopotea kina tangatanga kama kuku aliye katwa kichwa.

Uwepo wetu katika nchi yetu hauna maana dini hii iitwayo mpira inazidi kutuangamiza Watanzania kwa kutufanya wapumbavu kupindukia
imekupumbaza zaidi wewe eee
 
Angalia usije kuwa wewe ndo mpumbavu, entertainment isiyokuwa na kelele ni mpira,mpira siyo shisha,unaangalia ukimaliza biashara imeisha,hakuna side effect,ukiwa kichaa wa kamari hayo hayatuhusu.
 
Punguza makasiriko kwanza, ulitaka kutupangia watanzania wote tufanye nini ?
 
Sio tanzania tu bali ni dunia nzima. Ulaya viwanja vinajaa kuliko nyumba za ibada, huwaambii kitu kuhusu mpira, mpira na wao, wao na mpira. Siku hizi unaweza kukuta mchungaji ni mshabiki mkubwa wa mpira sambamba na waumini wake wanaingiza ushabiki wao mpaka kanisani. Zamani ilikuwa ni dhambi kubwa kufuatisha mambo ya dunia kama mpira, huwezi kwenda mpirani wakati kuna ibada kanisani. Mpira ndio umetamalaki, ni ibada ya sanamu
 
Mpira umekuwa ndio dini yetu rasmi Watanzania.

Umetufanya na unazidi kutufanya kuwa wapumbavu kupindukia.

Sisi ni kizazi kilichopotea kina tangatanga kama kuku aliye katwa kichwa.

Uwepo wetu katika nchi yetu hauna maana dini hii iitwayo mpira inazidi kutuangamiza Watanzania kwa kutufanya wapumbavu kupindukia
Mpira ni ajira mzee.......
 
Back
Top Bottom