Mpira umekuwa dini ya Watanzania umetufanya kuwa wapumbavu zaidi

Mpira umekuwa dini ya Watanzania umetufanya kuwa wapumbavu zaidi

Sio tanzania tu bali ni dunia nzima. Ulaya viwanja vinajaa kuliko nyumba za ibada, huwaambii kitu kuhusu mpira, mpira na wao, wao na mpira. Siku hizi unaweza kukuta mchungaji ni mshabiki mkubwa wa mpira sambamba na waumini wake wanaingiza ushabiki wao mpaka kanisani. Zamani ilikuwa ni dhambi kubwa kufuatisha mambo ya dunia kama mpira, huwezi kwenda mpirani wakati kuna ibada kanisani. Mpira ndio umetamalaki, ni ibada ya sanamu
Nyumba za ibada ni utapeli.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Yaani leo jioni maeneo mengi hamna foleni za magari ,uhaba wa huduma za bajaji na bodaboda, maduka yako kimya yaani mji umekauka na kimyaaa kama kipindi kile cha corona iko active..hebu wenzetu mliotembea nchi mbali mbali hivi kunapokuwa na mechi kubwa kubwa za clubs ,Je shughuli zinazolota na ukimya kama huu? Na kesho yake je mijadala ya kujadili soko huwa kila kona ? Maana kesho kwenye daladala, vijiwe vya bodaboda, kwenye biashara etc ni fully uchambuzi wa mechi ya leo...
 
Yaani leo jioni maeneo mengi hamna foleni za magari ,uhaba wa huduma za bajaji na bodaboda, maduka yako kimya yaani mji umekauka na kimyaaa kama kipindi kile cha corona iko active..hebu wenzetu mliotembea nchi mbali mbali hivi kunapokuwa na mechi kubwa kubwa za clubs ,Je shughuli zinazolota na ukimya kama huu? Na kesho yake je mijadala ya kujadili soko huwa kila kona ? Maana kesho kwenye daladala, vijiwe vya bodaboda, kwenye biashara etc ni fully uchambuzi wa mechi ya leo
Nimeishi canada 5yrs..kule unapishana na van tu..huko unapishana na sedan na suv means watu wanatoka kazni Au starehe ..van ni gari za viwandani
 
Unafikiri kwa nini waroma zamani walijenga mwaviwanja makubwa ya michezo na kutumia pesa nyingi kufanya michezo na matamasha? Michezo ina nguvu sana katika kushika akili za watu.
 
Mpira umekuwa ndio dini yetu rasmi Watanzania.

Umetufanya na unazidi kutufanya kuwa wapumbavu kupindukia.

Sisi ni kizazi kilichopotea kina tangatanga kama kuku aliye katwa kichwa.

Uwepo wetu katika nchi yetu hauna maana dini hii iitwayo mpira inazidi kutuangamiza Watanzania kwa kutufanya wapumbavu kupindukia
Watawala wanapenda sana tushabikie mipira na miziki
 
Back
Top Bottom