Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Huyu jamaa ni wawapi? Awatazame wazungu na mpira alafu aangalie maendeleo yaoKijana una stress za nini?
Watu wanatengeneza pesa , alafu wanataka burudani, we ndo unajifanya unawapangia?
Ushawahi ona Waingereza wanavoshangilia pale Anfield? Wale ni vichaa kuliko sisi.
Maendeleo yanatengenezwa na watu wachache, acha ujinga wewe.Huyu jamaa ni wawapi? Awatazame wazungu na mpira alafu aangalie maendeleo yao
Ww kaimbe mapambio tu. Usiforce watu wafanane na wwMpira umekuwa ndio dini yetu rasmi Watanzania.
Umetufanya na unazidi kutufanya kuwa wapumbavu kupindukia.
Sisi ni kizazi kilichopotea kina tangatanga kama kuku aliye katwa kichwa.
Uwepo wetu katika nchi yetu hauna maana dini hii iitwayo mpira inazidi kutuangamiza Watanzania kwa kutufanya wapumbavu kupindukia
imekupumbaza zaidi wewe eeeMpira umekuwa ndio dini yetu rasmi Watanzania.
Umetufanya na unazidi kutufanya kuwa wapumbavu kupindukia.
Sisi ni kizazi kilichopotea kina tangatanga kama kuku aliye katwa kichwa.
Uwepo wetu katika nchi yetu hauna maana dini hii iitwayo mpira inazidi kutuangamiza Watanzania kwa kutufanya wapumbavu kupindukia
Angalia usije kuwa wewe ndo mpumbavu, entertainment isiyokuwa na kelele ni mpira,mpira siyo shisha,unaangalia ukimaliza biashara imeisha,hakuna side effect,ukiwa kichaa wa kamari hayo hayatuhusu.Mpira umekuwa ndio dini yetu rasmi Watanzania.
Umetufanya na unazidi kutufanya kuwa wapumbavu kupindukia.
Sisi ni kizazi kilichopotea kina tangatanga kama kuku aliye katwa kichwa.
Uwepo wetu katika nchi yetu hauna maana dini hii iitwayo mpira inazidi kutuangamiza Watanzania kwa kutufanya wapumbavu kupindukia
Mpira ni ajira mzee.......Mpira umekuwa ndio dini yetu rasmi Watanzania.