Mpira umekuwa dini ya Watanzania umetufanya kuwa wapumbavu zaidi

Nyumba za ibada ni utapeli.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Yaani leo jioni maeneo mengi hamna foleni za magari ,uhaba wa huduma za bajaji na bodaboda, maduka yako kimya yaani mji umekauka na kimyaaa kama kipindi kile cha corona iko active..hebu wenzetu mliotembea nchi mbali mbali hivi kunapokuwa na mechi kubwa kubwa za clubs ,Je shughuli zinazolota na ukimya kama huu? Na kesho yake je mijadala ya kujadili soko huwa kila kona ? Maana kesho kwenye daladala, vijiwe vya bodaboda, kwenye biashara etc ni fully uchambuzi wa mechi ya leo...
 
Nimeishi canada 5yrs..kule unapishana na van tu..huko unapishana na sedan na suv means watu wanatoka kazni Au starehe ..van ni gari za viwandani
 
Unafikiri kwa nini waroma zamani walijenga mwaviwanja makubwa ya michezo na kutumia pesa nyingi kufanya michezo na matamasha? Michezo ina nguvu sana katika kushika akili za watu.
 
Watawala wanapenda sana tushabikie mipira na miziki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…