Mpira umekwisha uwanja wa Taifa kati ya Ndanda Fc na Yanga SC Ni sare ya 1 na 1bila kufungana.

University_Promo

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2018
Posts
749
Reaction score
661
Dakika 90 zimekwisha uwanja wa taifa jijini Dar es salaam kati ya Ndanda FC na Dar Yanga Afrika,
Yanga wamelazimisha sare ya Gori Moja kwa Moja bila kufungana,
Na wafungaji wa magoli ni Jafary Mohammed wa Yanga Dakika ya 24 na Nasoro Hashimu Dakika ya 16.
=================================
Sina Mengi zaidi ya hayo asanteni.
 
Kwani kikosi mlichonacho ni cha zamani?
Droo tu mnaweweseka. Mikoani mtapigana bakora na kuulizana "mbona wapo wachezaji zaidi uwanjani"?
Staili ya Minziro huko Mbeya.
 
Usijali kocha Zahere kwenye Press Conference amesema atamsajili mama yake kwenye dirisha dogo.Kwani wachezaji wake wanakosa nafasi ambazo hata mama yake angefunga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…