sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
Cc Guasa AmboniHawa vyura fc walishangilia sana sale ya ndanda na mnyama pale mtwara lakini wenyewe wametoa sale taifa wanajisahaulisha walivoshangilia ile sale yetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cc Guasa AmboniHawa vyura fc walishangilia sana sale ya ndanda na mnyama pale mtwara lakini wenyewe wametoa sale taifa wanajisahaulisha walivoshangilia ile sale yetu
Hadi muda huu, kuna timu mbili tu hazijafungwa TPL. Yanga na Azam. Ligi imesimama hadi tucheze na Lesotho. Hali hiyo itabaki hivyo hivyo.
Ndo fimbo ya kumpigia Simba iliyobaki kwenu kwavile ubingwa hakuna, soka lenu kama Ndondo tu sasa, maneno yote kwisha habari yenu.Sare katoa ndanda mikia wanashangilia utadhani wametwaa ubingwa yule msomali wa tabora lile jina alilowabatiza alikuwa sahihi sana.
kamuulize Mo Subash Patel ni nani??Hela za usajili mnazo?
Hahaha aiseee [emoji4] [emoji4]
Nyani haoni...................Hawa vyura fc walishangilia sana sale ya ndanda na mnyama pale mtwara lakini wenyewe wametoa sale taifa wanajisahaulisha walivoshangilia ile sale yetu
Kwani hiyo mikoa ipo America? Acheni kukariri kufungwa au kushida ni popote! Msimu uliopita lipuli alitoka sare na yanga hapa Dar lakini kule kwao alichapwa! Narudia acheni kukariri!Na bado safari za Mikoani zinakuja
[emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hiyo inaitwa ukimwaga mboga namwaga ugali.Hadi muda huu, kuna timu mbili tu zilizofungwa hat-trick TPL. Yanga na Ruvu Shooting. Ligi imesimama hadi tucheze na Lesotho. Hali hiyo itabaki hivyo hivyo
Alafu wakishakufa wanarudi kwao matopeniNdo fimbo ya kumpigia Simba iliyobaki kwenu kwavile ubingwa hakuna, soka lenu kama Ndondo tu sasa, maneno yote kwisha habari yenu.
Kwani mlipokuwa mkishangilia Simba kudroo na Ndanda mlidhani hamtakwaa kisiki?
Ndo hivyo tena..Mlianza na kushinda goli moja, Jana sare, kifuatacho ni kipigo, halafu Mnakufa[emoji3][emoji3][emoji3]
umeangalia msimamo wa ligi vizuri?? mikia kashinda mechi mbili tu alivyocheza na top ten ...alafu mnapiga keleleKwani kikosi mlichonacho ni cha zamani?
Droo tu mnaweweseka. Mikoani mtapigana bakora na kuulizana "mbona wapo wachezaji zaidi uwanjani"?
Staili ya Minziro huko Mbeya.
Mkuu, by the way, kwa idadi ile kura za Asha Baraka, mnaanzisha Twanga Pepeta II?Hadi muda huu, kuna timu mbili tu zilizofungwa hat-trick TPL. Yanga na Ruvu Shooting. Ligi imesimama hadi tucheze na Lesotho. Hali hiyo itabaki hivyo hivyo
KweliBakuli la michango vipi?Au bado Alinacha za kumngojea bwana mkubwa arudi. Mtakosa hata pesa za nauli za kwenda mikoani.
Mmekuwa fisi mnangojea mkono udondoke.