Mpira umekwisha uwanja wa Taifa kati ya Ndanda Fc na Yanga SC Ni sare ya 1 na 1bila kufungana.

Okwi na Kagere ndo wanaongoza kwa magoli 7 saba kwenye TPL kushika nafasi ya pili akiongozwa Na Ambokile wa Mbeya Magoli 8.Itabaki hivyo hivyo hadi tucheze na Lesotho.
Uku makambo ana magoli 4 hadi sasa.
 
Sare katoa ndanda mikia wanashangilia utadhani wametwaa ubingwa yule msomali wa tabora lile jina alilowabatiza alikuwa sahihi sana.
Ndo fimbo ya kumpigia Simba iliyobaki kwenu kwavile ubingwa hakuna, soka lenu kama Ndondo tu sasa, maneno yote kwisha habari yenu.

Kwani mlipokuwa mkishangilia Simba kudroo na Ndanda mlidhani hamtakwaa kisiki?

Ndo hivyo tena..Mlianza na kushinda goli moja, Jana sare, kifuatacho ni kipigo, halafu Mnakufa[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Yanga ina point sawa na Simba japo ina mchezo mmoja pungufu. Itabaki hivyo hadi tumalizane na Lesotho
 
Alafu wakishakufa wanarudi kwao matopeni
 
Kwani kikosi mlichonacho ni cha zamani?
Droo tu mnaweweseka. Mikoani mtapigana bakora na kuulizana "mbona wapo wachezaji zaidi uwanjani"?
Staili ya Minziro huko Mbeya.
umeangalia msimamo wa ligi vizuri?? mikia kashinda mechi mbili tu alivyocheza na top ten ...alafu mnapiga kelele
 
Hadi muda huu, kuna timu mbili tu zilizofungwa hat-trick TPL. Yanga na Ruvu Shooting. Ligi imesimama hadi tucheze na Lesotho. Hali hiyo itabaki hivyo hivyo
Mkuu, by the way, kwa idadi ile kura za Asha Baraka, mnaanzisha Twanga Pepeta II?
 
Bakuli la michango vipi?Au bado Alinacha za kumngojea bwana mkubwa arudi. Mtakosa hata pesa za nauli za kwenda mikoani.
Mmekuwa fisi mnangojea mkono udondoke.
 
Bakuli la michango vipi?Au bado Alinacha za kumngojea bwana mkubwa arudi. Mtakosa hata pesa za nauli za kwenda mikoani.
Mmekuwa fisi mnangojea mkono udondoke.
Kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…