haya"" nifungulie basiii pm nawewe "" malkia gani usiyetaka kuchat na wafuasi wako ""!?Hhahaha kawaidaaa nshazoeaa kudeal na this typaa of pple wanangata na kupulizaa includin u im im happy with my soul
Amenifunga tu wacha nilee ndoa kila kitu kina mwanzo na mwisho nakonda miyeeeee acha tuMshana mfungulie huyu mtu tunamhitaji kiduchu jomoniiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]loh ndoa tamu alafu hazipatikan jaman nitakuwa napita tu kweli kwa codes loh nilikuhamu muulize kapeace nilkuwa namuuliza kila saa namwambia nafasi yangu namuachia mambembe le queenUwiiii jaman mshana naombaa atuachiee shoga etu mwanamke hulka bibi ww tuvitu tudogodogo kama kuchamba kwa mwanamke sunaa bibi weee yann kukubaniaaa shosti ....ilaa usijali ndoaa tamu basi utakuwa unachamba kwa codes najuaa mshana hawez jua kama ni mchambo lol
Hii ni bandika bandua nikianza kula ndimu nije na kisiran changu huku sasa looooh watakomaBaby hebu tengaa muda wa ndoa bwana khaaaa usijezaa kama kuku kila.saa mpo ndani mwambiee mzee atoke akatafute elaa
Na usiombe iwe ya pacha wa jinsiaa tofauti staki kujuaa hilo povu shogaaaa yaaan hasiraa zote zinaishiaaa huku utasema tulimshikiaa mshana mguuHii ni bandika bandua nikianza kula ndimu nije na kisiran changu huku sasa looooh watakoma
Hivi vichwa havitegemeani na kila kimoja kina maamuzi yake... Tatzo kosa la kichwa kingine wanawake wanalaumu kichwa kingine....Sa si bora sisi wanawake kuliko nyie wanaume wenye vichwa viwili alafu haviwez kujicontrol usiombe akili irudi kichwa cha chini unaweza ukamdharau mwanaume ukamuona falaa saaana so tuacheee,
Tunakushangaza nini wakati vyote haviwezi kujiongozaa yaan havijielew sasa ukikuta mtu network ya chini ndo imeshika 4g unaweza liambiaa kula kimba ba akala.....alafu bado mnajoona mnaa mnajielewaa??Hivi vichwa havitegemeani na kila kimoja kina maamuzi yake... Tatzo kosa la kichwa kingine wanawake wanalaumu kichwa kingine....
Wanawake wa JF mnanishangaza sana...
Seriously?Wanawake ni vichwa panzi khaaa
Hahahahahaha jaman,im happy soul no makelele boss
Ulivyombea sasa utabaki mifupa tuAmenifunga tu wacha nilee ndoa kila kitu kina mwanzo na mwisho nakonda miyeeeee acha tu