Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Love u more wenye wivu wapasuke ikibidiMama sabry dear i love u...thnk u honey[emoji813]️[emoji813]️[emoji813]️
In Short sijaelewa kitu hapaCall the haters, call The list,nokia and east blah blah
Tel em the quen is back hahahaha there is no permanent sitaution at all .....mambembe is freee ....hahaha unstoppable is back...aiseee hakuna marefu yasiyo kuwa na ncha hatimaye ban imexpire
Aiseee sikuamini kuwa mimi ni superstar until nilivyoona notifications zenu khaaa sio kwa kutajwa kulee jaman sasa naombaa muwaambiee kuwa the queen is back
Believe me, it’s very possible to rise above the hate, and if you’re dealing with haters, you can rise above it too by:
1) showing your haters that their words have no effect on you yaaan hujali kabisa na piaa
2) showing them that you’re happy with who you are by doing more of what they hate yaan unawatiaa nyembe zaidi kama ninavyoaanza now na cha mwisho kabisa dont forget to be u .....
Point of correction guys mimi sio the list na wala simjui nilishangaa tu yule mkaka from no where kilaa ninapoweka comment naye kaja kuandika upupu wake na mm nilikuwa nashindwaa kuvumiliaa yaaani nilitaman nikutane naye nimtafune bt all in all im back again....
Wale mashost wanafki waliozani nimekuja kuwaibiaa mabwana zao naomba warelax coz sina tym na mwanaume yoyote humu ndani though nina pm zaid ya 150 mpka sasa bt kwakweli sipo tayari kujibu so mabwana zenu msiwe na hofu nao coz nipo hapa kusocialise na sio vinginevyo manake ma queen uchwara walinunaje jaman khaaaa kama nawaona watakavyoupitaa huu uzi ila ndo nshasema and message sent
Na kwa wale wanaume msojielewa/wanaume suruali wafata mikumbo ya jf muache tabia za kike mwishowe mnakuja kuaibika kwa vitu vyaa ajabu kisa ushabiki wa kijingaa kisa kasema flani kitu wote mnajitiaa kumshambuliaa mtu acheni tabia hizo mtakuja valishwa shanga mshindwe kuzihesabu na kutofautisha rangi
Walionimiss nimewaonaaa na wale wanafki nimewaonaaa piaaa all in all IM BACK BIIIIIIIIIIISSSH
Mambembe unstoppable
The queen is back
Ikiuma chomoa
Aiseeee......[emoji15] [emoji15] [emoji15]Mwanaume mdomo unabakije wazi???wanaume wa instaa bwana hamuishiwi vihojaa khaa
Aiseeeee......[emoji15] [emoji15] [emoji15]Umeanza na.mdomo.najuaa na vingine vitafuataa be very careful ndugu
Mwanaume mdomo unabakije wazi???wanaume wa instaa bwana hamuishiwi vihojaa khaa
Umeanza na.mdomo.najuaa na vingine vitafuataa be very careful ndugu
Kwani kuna shida gani mkuu...[emoji45] [emoji45][emoji57][emoji57][emoji57]
Fanya mbwembwe zote lakin hakiksha hakuna mwana jf anayekufahamu. La sivyo picha yako halisi ikiletwa hapa utakuwa speechless kama wakina bibi 2kinao.Sichamban tena na classless people ambao hawana maishaa nilichogunduaa nimewazidi dats y dear
Da Vinci...unaaa....liripuke?Eti ww ndio Imbecile,Fils de pute, Empty set, Rubbish, And so oniii...
Hahahahhaa kwan wapoje manake sikuwepo ...Fanya mbwembwe zote lakin hakiksha hakuna mwana jf anayekufahamu. La sivyo picha yako halisi ikiletwa hapa utakuwa speechless kama wakina bibi 2kinao.
Haya...mchumu abebike....Si kwa povu hili!