Mpira umerudi kwa kipa and the queen is back!

Mpira umerudi kwa kipa and the queen is back!

Hahahahhaa kwan wapoje manake sikuwepo ...

By the way najiamini saaanaa yaan saanaa hata kama kuna anayenijuaa anajuaa why najiamini once ur queen u will alyways b a queen siigizi maishaa kama hawa hawa warembo wenu uchwaraaa.....
Actions speak louder than words.

Maneno matupu hayavunji mfupi mzee wangu
 
maskini jolie wangu ameshakuwa shilawadu "" lakini kama sijasahau yule mkaka alisema hata kama atakuwa anatembelea maeneo haya..basiii ni kwa uchache mnoooo"" so sijui umeshamuona kwenye post ngapi za humu "" kama zipo nyingi basiii sidhani kam zinafika hata 4....( so naimani bado hajavuka mipaka yake jaribu kumpa muda)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom