Mpira umerudi kwa kipa and the queen is back!

Mpira umerudi kwa kipa and the queen is back!

Hhahaha kawaidaaa nshazoeaa kudeal na this typaa of pple wanangata na kupulizaa includin u im im happy with my soul
haya"" nifungulie basiii pm nawewe "" malkia gani usiyetaka kuchat na wafuasi wako ""!?
 
haya"" nifungulie basiii pm nawewe "" malkia gani usiyetaka kuchat na wafuasi wako ""!?

Huko pm sipajui manake naonaa mi sms kibao sa siwez kujibu yotee tuchat huku huku kwenye thread
 
Uwiiii jaman mshana naombaa atuachiee shoga etu mwanamke hulka bibi ww tuvitu tudogodogo kama kuchamba kwa mwanamke sunaa bibi weee yann kukubaniaaa shosti ....ilaa usijali ndoaa tamu basi utakuwa unachamba kwa codes najuaa mshana hawez jua kama ni mchambo lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]loh ndoa tamu alafu hazipatikan jaman nitakuwa napita tu kweli kwa codes loh nilikuhamu muulize kapeace nilkuwa namuuliza kila saa namwambia nafasi yangu namuachia mambembe le queen
 
Baby hebu tengaa muda wa ndoa bwana khaaaa usijezaa kama kuku kila.saa mpo ndani mwambiee mzee atoke akatafute elaa
Hii ni bandika bandua nikianza kula ndimu nije na kisiran changu huku sasa looooh watakoma
 
Wanawake ni vichwa panzi khaaa
Sa si bora sisi wanawake kuliko nyie wanaume wenye vichwa viwili alafu hamuwewez kujicontrol ,usiombe akili irudi kichwa cha chini unaweza ukamdharau mwanaume ukamuona falaa saaana so tuacheee,
 
Hii ni bandika bandua nikianza kula ndimu nije na kisiran changu huku sasa looooh watakoma
Na usiombe iwe ya pacha wa jinsiaa tofauti staki kujuaa hilo povu shogaaaa yaaan hasiraa zote zinaishiaaa huku utasema tulimshikiaa mshana mguu
 
Sa si bora sisi wanawake kuliko nyie wanaume wenye vichwa viwili alafu haviwez kujicontrol usiombe akili irudi kichwa cha chini unaweza ukamdharau mwanaume ukamuona falaa saaana so tuacheee,
Hivi vichwa havitegemeani na kila kimoja kina maamuzi yake... Tatzo kosa la kichwa kingine wanawake wanalaumu kichwa kingine....
Wanawake wa JF mnanishangaza sana...
 
Hivi vichwa havitegemeani na kila kimoja kina maamuzi yake... Tatzo kosa la kichwa kingine wanawake wanalaumu kichwa kingine....
Wanawake wa JF mnanishangaza sana...
Tunakushangaza nini wakati vyote haviwezi kujiongozaa yaan havijielew sasa ukikuta mtu network ya chini ndo imeshika 4g unaweza liambiaa kula kimba ba akala.....alafu bado mnajoona mnaa mnajielewaa??
 
Back
Top Bottom