Mpira umerudi kwa kipa and the queen is back!

In Short sijaelewa kitu hapa
Anyway KARIBU
 
Aiseeee.......[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Mdomo wangu umebaki wazi Ali....[emoji47] [emoji47]
 
Aiseeee.......[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Mdomo wangu umebaki wazi Ali....[emoji47] [emoji47]
Mwanaume mdomo unabakije wazi???wanaume wa instaa bwana hamuishiwi vihojaa khaa
 
Aiseeee......[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Mdomowangu umebaki wazi tena....[emoji47] [emoji47]
Umeanza na.mdomo.najuaa na vingine vitafuataa be very careful ndugu
 
Yale yaleee..... Muda ni mwalimu mzuri, Patience pays

Karibu...

Naomba niishie hapa tafadhali
 
Fanya mbwembwe zote lakin hakiksha hakuna mwana jf anayekufahamu. La sivyo picha yako halisi ikiletwa hapa utakuwa speechless kama wakina bibi 2kinao.
Hahahahhaa kwan wapoje manake sikuwepo ...

By the way najiamini saaanaa yaan saanaa hata kama kuna anayenijuaa anajuaa why najiamini once ur queen u will alyways b a queen siigizi maishaa kama hawa hawa warembo wenu uchwaraaa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…