DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Unamuogopa sana mzee wa orodha.Usisahau kale kagroup.....kalikuwa kanaongozwa na mzee wa orodha
Actions speak louder than words.Hahahahhaa kwan wapoje manake sikuwepo ...
By the way najiamini saaanaa yaan saanaa hata kama kuna anayenijuaa anajuaa why najiamini once ur queen u will alyways b a queen siigizi maishaa kama hawa hawa warembo wenu uchwaraaa.....
hahaaa ..basii mezea tu mkuuHahahaha hii code rahis saanaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]maskini jolie wangu ameshakuwa shilawadu "" lakini kama sijasahau yule mkaka alisema hata kama atakuwa anatembelea maeneo haya..basiii ni kwa uchache mnoooo"" so sijui umeshamuona kwenye post ngapi za humu "" kama zipo nyingi basiii sidhani kam zinafika hata 4....( so naimani bado hajavuka mipaka yake jaribu kumpa muda)
Yaaani umepitwaaaaa shogaYapi shoo naona kama nimepitwaa na mengi
Dawa yake nshaipata ya huo mdomo,utafunga tuAiseeee.......[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Mdomo wangu umebaki wazi Ali....[emoji47] [emoji47]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Fanya mbwembwe zote lakin hakiksha hakuna mwana jf anayekufahamu. La sivyo picha yako halisi ikiletwa hapa utakuwa speechless kama wakina bibi 2kinao.
hahaaaa Jf Inaachisha ndoa za watu """[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Huu mdomo ndio burudani ya bibi yako hapa nyumbani, basi nisipo ubakiza wazi ujue raha hana sikuhiyo.....tehteehhhDawa yake nshaipata ya huo mdomo,utafunga tu
Heeee mara hiii umeshanitafutia bibi?Huu mdomo ndio burudani ya bibi yako hapa nyumbani, basi nisipo ubakiza wazi ujue raha hana sikuhiyo.....tehteehhh
Mme hataki kumsalimia mkewe,haya mabadiliko ya tabia yamekuja kivinginehahaaaa Jf Inaachisha ndoa za watu """
Niyule yule wa sikuzote...[emoji12] [emoji12]Heeee mara hiii umeshanitafutia bibi?
Sina maana hiyoHahahahaha kwahiyo unataka nijianike kama wao??hell no