Chukueni hata jagiSimba imecheza vizuri mno. Hongera Simba.
Timu mpya hii, Medali na pesa zinazoingia kwa kufika fainali inatosha kwa msimu huu.Chukueni hata jagi
Ndio mmepata akili Leo?Timu mpya hii, Medali na pesa zinazoingia kwa kufika fainali inatosha kwa msimu huu.
Hapana, hili hata nyinyi mnalijua ni vile tayari Simba ni timu kubwa hata kwenye mawazo yenu hivyo kufika fainali haiwashangazi.Ndio mmepata akili Leo?
Sawa lala kwa amani kama niliyonayoHapana, hili hata nyinyi mnalijua ni vile tayari Simba ni timu kubwa hata kwenye mawazo yenu hivyo kufika fainali haiwashangazi.
Amani tele mkuu, kesho tupongeze wachezaji tugange yajayo.Sawa lala kwa amani kama niliyonayo
Hapo sawaAmani tele mkuu, kesho tupongeze wachezaji tugange yajayo.
Kombe mbona wamebeba!Chukueni hata jagi
Ni zuri kinoma hongera kwaoKombe mbona wamebeba!View attachment 3345719
Tatizo ni referee au wachezajiTuambiane ukweli, Simba inabidi kuifumua safu yote ya mbele kuanzia namba 7 hadi 11. Wachezaji pekee wanaotakiwa kubaki pale mbele ni Mpanzu, Mutale na Mavambo baaasi na labda tumfikirie pia Mukwala.
Wengine woote kuanzia Kibu, Chasambi, Balua, Ngoma, Ateba, Awesu wawekwe pembeni.
Simba ili iende hatua inayofuata inahitaji viungo na mawinga walio skilled zaidi, wenye uwezo wa kuupokea mpira, wakapush kwa kupasiana, wakaufikisha mpira eneo la hatari kwa formation zinazoeleweka na walio na uwezo wa kubaki na mpira hata wakiwa pressed badala ya kukimbilia kuurudisha kwa mabeki au golikipa.
kefa kayombo huku hana msaada poleni makoloWakuu samahani hivi viongozi WA timu zetu wanashindwa kuandaa mbinu za kukabiliana na maamuzi mabovu ya warefa WA hizi mechi kubwa.?
Leo ndio simba kafungwa lakini tulijua kabisa kuwa lazima mwamuzi atakuwa upande WA RS berkane.kwanini simba isingeandaa mbinu ya kukabiliana na hayo yalikuwa yanakwenda kutokea?
Ila poleni makolo timu hamna hamjui kupiga counter attacks gemu ilikuwa yenu hii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣