Kwahivyo ulitakaje ulitaka goli la simba likataliwe hata kama ni halali kisa tu lilifungwa na simba, na ulitaka goli la stellenbosch likubaliwe hata kama siyo halali kisa tu lilifungwa na wapinzani wa simba, msitulazimishe tuwaone mashabiki wote wa yanga ni takataka hebu chambueni mpira msituletee huu upumbavu wenuTatizo simba mmezoea kubebwa na marefa, Simba mmebebebwa mechi kibao. Leo refa kawakazia mnamuona mchawi.
Hata mechi ya kwanza tu na berkane mlipunguziwa magoli kwa kubebwa na marefa.
Kuna mechi za nyuma mnacheza muda usioeleweka yaani mpaka mpate goli ndio mpira unaisha.
Wale wa south nusu fainali simba iliwafunga kwa kubebebwa na Var ila wao wakakataliwa goli lao na var.
WAMEKWISHASisi ndiyo Simba SC AKA;
View attachment 33459731. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Makelele SC.
5. Malalamiko/Lia lia SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau/Mapaka SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mwakarobo SC.
11. Mbeleko/Bebwa bebwa SC.
12. Manguruwe SC.
13. Miso Misonda SC.
14. Mikia SC.
15. Mbuzi SC.
16. Zuwena SC.
17. Khamsa Khamsa/5imba SC.
18. Kufa Kiume SC.
19. Kikanuni SC.
20. Bahasha SC.
21. Ngada SC.
22. Kolowizards SC.
23. Kamdomo SC .
VAR si ilikuwepoKwahivyo ulitakaje ulitaka goli la simba likataliwe hata kama ni halali kisa tu lilifungwa na simba, na ulitaka goli la stellenbosch likubaliwe hata kama siyo halali kisa tu lilifungwa na wapinzani wa simba, msitulazimishe tuwaone mashabiki wote wa yanga ni takataka hebu chambueni mpira msituletee huu upumbavu wenu
Sasa kwani haikutumikaVAR si ilikuwepo
Mechi ya Simba na mashujaa iliche!wa kwa dk 120. Iliisha simba walipopewq prnaltiWakuu samahani hivi viongozi WA timu zetu wanashindwa kuandaa mbinu za kukabiliana na maamuzi mabovu ya warefa WA hizi mechi kubwa.?
Leo ndio simba kafungwa lakini tulijua kabisa kuwa lazima mwamuzi atakuwa upande WA RS berkane.kwanini simba isingeandaa mbinu ya kukabiliana na hayo yalikuwa yanakwenda kutokea?
Ila poleni makolo timu hamna hamjui kupiga counter attacks gemu ilikuwa yenu hii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
na ilitumika vizuri tu. watu iliwaacha washingilie kwa mbwembwe nayo ikaja kutoa maamzi yakeSasa kwani haikutumika
Walikuwa wanalishangaa kombe bila kuvaa chupi.Simba imecheza vizuri mno. Hongera Simba.
Nguo ya ndani na kombe vina uhusiano gani?Walikuwa wanalishangaa kombe bila kuvaa chupi.
Ndio sasa mnachojilalamisha kwamba simba iliingia fainali kwa kubebwa na var ni ninina ilitumika vizuri tu. watu iliwaacha washingilie kwa mbwembwe nayo ikaja kutoa maamzi yake
Ukiona dalili za kubebwa, mnapambana haswa mpaka kieleweke. Kwa mfano, Kapombe alikosa goli la wazi, unahisi refa angekataa lile goli?Wakuu samahani hivi viongozi WA timu zetu wanashindwa kuandaa mbinu za kukabiliana na maamuzi mabovu ya warefa WA hizi mechi kubwa.?
Leo ndio simba kafungwa lakini tulijua kabisa kuwa lazima mwamuzi atakuwa upande WA RS berkane.kwanini simba isingeandaa mbinu ya kukabiliana na hayo yalikuwa yanakwenda kutokea?
Ila poleni makolo timu hamna hamjui kupiga counter attacks gemu ilikuwa yenu hii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣