Mpira wa Afrika umevamiwa na Wamorocco, Waafrika tuungane kuukataa uhuni na ubanyamulenge wa nchi hii

Tochuku

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
5,322
Reaction score
8,412
Katika Hali isiyokua ya kawaida baada ya mbinu zao chafu kufeli ama ushindi wa mezani kufeli, Sasa hasira zao wanazimalizia kwa mashabiki na wageni waliokuja ama walikuepo nchini humo kwa ajili ya kuja kuangalia michuano hio...Morocco inaonyesha uadui mkubwa kwa raia wa mataifa mengine ya Afrika, wakiwemo Wamisri, wasenegal, wanaijeria, waalageria kwa kubadilisha na kufuta safari zao za ndege na kuwataka waombe kurejeshewa fedha zao (refunds), ambazo hata hawajui ni lini watapewa.

Wameenda mbali zaidi, Wamezima huduma ya WiFi ya uwanja wa ndege na kuwapeleka wanajeshi na polisi wakiwa na silaha, ndani ya uwanja wa ndege.😂😂😂🚮🚮

Huu ni uhuni wa namna gani?

Nani amewaambia kuwa kuwa mwenyeji wa mashindano inamaanisha kuwa tayari wameshashinda?

Mashabiki wa nchi tofauti wamelazimika wengine hata kuonyesha pasi zao za kusafiria za Nigeria ili tu kuthibitisha kuwa wao si Wasenegali. What kind of stupid rubbish is this? Ama kweli mpira wa afrika ulikua tumetulia kabisa Hadi walipokuja Hawa wahuni, Sasa tutarajie kuona mengi zaidi na zaidi.

Hapa naskia wamvamia ofisi za CAF na kutaka kuanza kushawishi kocha wa Senegal afungiwe na Senegal wannyang'anywe ubingwa wa afcon, takataka kabisa.

Africa countries should unite together to fight this devil called morocco in our football
 
Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania alisema mbona hawa Morocco wanabebwa sana kila tunapocheza nao Rais wenu Karia akamfukuza kazi na kusema ile ni kauli yake mwaka huu tumetolewa na Morocco kwa kunyimwa tuta dk ya mwisho bado Karia hakuna kitu kaongea kuhusu hao jamaa yeye yupo busy na ujumbe wa CAF na FIFA basi..
 
Katika Hali isiyokua ya kawaida baada ya mbinu zao chafu kufeli ama ushindi wa mezani kufeli, Sasa hasira zao wanazimalizia kwa mashabiki na wageni waliokuja ama walikuepo nchini humo kwa ajili ya kuja kuangalia michuano hio...Morocco inaonyesha uadui mkubwa kwa raia wa mataifa mengine ya Afrika, wakiwemo Wamisri, wasenegal, wanaijeria, waalageria kwa kubadilisha na kufuta safari zao za ndege na kuwataka waombe kurejeshewa fedha zao (refunds), ambazo hata hawajui ni lini watapewa.

Wameenda mbali zaidi, Wamezima huduma ya WiFi ya uwanja wa ndege na kuwapeleka wanajeshi na polisi wakiwa na silaha, ndani ya uwanja wa ndege.😂😂😂🚮🚮

Huu ni uhuni wa namna gani?

Nani amewaambia kuwa kuwa mwenyeji wa mashindano inamaanisha kuwa tayari wameshashinda?

Mashabiki wa nchi tofauti wamelazimika wengine hata kuonyesha pasi zao za kusafiria za Nigeria ili tu kuthibitisha kuwa wao si Wasenegali. What kind of stupid rubbish is this? Ama kweli mpira wa afrika ulikua tumetulia kabisa Hadi walipokuja Hawa wahuni, Sasa tutarajie kuona mengi zaidi na zaidi.

Hapa naskia wamvamia ofisi za CAF na kutaka kuanza kushawishi kocha wa Senegal afungiwe na Senegal wannyang'anywe ubingwa wa afcon, takataka kabisa.

Africa countries should unite together to fight this devil called morocco in our football
Wewe jamaa, acha uongo

Hayo sijui ila inashangaza si CAF si FIFA wala wadau wengine waliozungumzia mapungufu ya waamuzi na vitendo visivyo vya kiungwana kwa walinda lango vilivyooneshwa na mashabiki wa Morocco kwa kukwapua mataulo.

Kelele zimeelekezwa kwa Senegal na siyo chanzo cha huku kutokuaminika kwa waamuzi.
 
Katika Hali isiyokua ya kawaida baada ya mbinu zao chafu kufeli ama ushindi wa mezani kufeli, Sasa hasira zao wanazimalizia kwa mashabiki na wageni waliokuja ama walikuepo nchini humo kwa ajili ya kuja kuangalia michuano hio...Morocco inaonyesha uadui mkubwa kwa raia wa mataifa mengine ya Afrika, wakiwemo Wamisri, wasenegal, wanaijeria, waalageria kwa kubadilisha na kufuta safari zao za ndege na kuwataka waombe kurejeshewa fedha zao (refunds), ambazo hata hawajui ni lini watapewa.

Wameenda mbali zaidi, Wamezima huduma ya WiFi ya uwanja wa ndege na kuwapeleka wanajeshi na polisi wakiwa na silaha, ndani ya uwanja wa ndege.😂😂😂🚮🚮

Huu ni uhuni wa namna gani?

Nani amewaambia kuwa kuwa mwenyeji wa mashindano inamaanisha kuwa tayari wameshashinda?

Mashabiki wa nchi tofauti wamelazimika wengine hata kuonyesha pasi zao za kusafiria za Nigeria ili tu kuthibitisha kuwa wao si Wasenegali. What kind of stupid rubbish is this? Ama kweli mpira wa afrika ulikua tumetulia kabisa Hadi walipokuja Hawa wahuni, Sasa tutarajie kuona mengi zaidi na zaidi.

Hapa naskia wamvamia ofisi za CAF na kutaka kuanza kushawishi kocha wa Senegal afungiwe na Senegal wannyang'anywe ubingwa wa afcon, takataka kabisa.

Africa countries should unite together to fight this devil called morocco in our football
Waliotendewa hayo walalamike rasmi ili hatua stahiki zichukuliwe,wafutiwe ushiriki wao kwenye mpira wa miguu world wide
 
NDugu yangu usijichoshe ngoz ya nyani haipendwi na yeyote hapa dunian, nyie wenyewe tu hamuipend mnataka wengne wawapende?

Kuna watu wanajichubua ngoz kushinda ngoz ya nyani?
Kwahio ngozi yako ya nyani ndio imekwambia ushobokee warabu?
 
Back
Top Bottom