Mpira wa Bongo jau

Kwani waliofanyiwa hivyo hawatambui haki yao mpaka na wao wakae kimya au hii ni mara ya kwanza jambo kama hili kutokea?

Hatuwezi kuwa watu wa kulalamika kila siku wakati mnaonewa.
Sasa hata wakipeleka malalamiko nani atawasikia?
 
Kwani waliofanyiwa hivyo hawatambui haki yao mpaka na wao wakae kimya au hii ni mara ya kwanza jambo kama hili kutokea?

Hatuwezi kuwa watu wa kulalamika kila siku wakati mnaonewa.
Unaenda kulalamika wapi wakati mifumo yetu yote ni ya kizandiki.
 
Sasa Kiongozi wachukue hatua gani? Na nani ataweza kuwasikiliza?

Mtu amechoma mafuta, tiketi au nauli ili akaitazame DERBY ila cha kushangaza mechi inahairishwa kitoto.

Kwenye nchi zetu hizi ustaarabu zero.
Mkuu kama hatuwezi kudai haki zetu hakuna mtu ataleta mezani hata siku moja.

Yani viongozi hata 100 hawafiki wanawaendesha mashabiki zaidi ya 50k na wanachekelea tu.
 
Unaenda kulalamika wapi wakati mifumo yetu yote ni ya kizandiki.
Oyaa kuwa serious Mkuu.

Kwa hiyo unataka kusema haya mambo hayana suluhu?

Hebu tukubali kuwa ni ujinga wetu wala sio jambo la kujivunia kila siku kusema hatuna mahali pa kulalamika au kukomesha huu upuuzi.

Simple, mashabiki wote wa mpira mngeacha kwenda uwanjani toka ile mechi ya kipindi kile ilivyoahirishwa so mngeacha viongozi na wachezaji wacheze na kushabikia mpira wao wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…