mpira wa tanzania hauwez kupiga hatua kamwe kama tukiendelea ivi tunavoendelea maamuzi mengi yamekuwa yakitolewa kwa faida ya simba au yanga. sasa refa kafungiwa miaka miwili hawasemi sababu na mkude kadi imefutwa hawasemi koz akipopewa kila mtu aliona sababu.
Hebu editi ulichokiandika ueleweke, naona hutaki maaamuzi ya kesi ya Simba na Yanga, zisinufaishe au kuziadhiri vilabu hivyo, ulitakaje. Kesi zao maamuzi yake yasiwaguse.mpira wa tanzania hauwez kupiga hatua kamwe kama tukiendelea ivi tunavoendelea maamuzi mengi yamekuwa yakitolewa kwa faida ya simba au yanga. sasa refa kafungiwa miaka miwili hawasemi sababu na mkude kadi imefutwa hawasemi koz akipopewa kila mtu aliona sababu.
wanasema hakustahili kadi nyekundu lakini alimpush refa ..duMtoa mada ni mnufaika wa maamuzi hovyo ya mwamzi wa ile mechi hivyo unahaki kuumia mkude kufutiwa kadi.. Kumbe kwa akili yako lile goli la tambwe na kukataliwa la ajib ilikuwa kukuza mpira wetu...
Hebu editi ulichokiandika ueleweke, naona hutaki maaamuzi ya kesi ya Simba na Yanga, zisinufaishe au kuziadhiri vilabu hivyo, ulitakaje. Kesi zao maamuzi yake yasiwaguse.