Mpira wa bongo kichefu chefu na hatufiki kokote

endrizzy

Senior Member
Joined
Oct 19, 2015
Posts
186
Reaction score
137
mpira wa tanzania hauwez kupiga hatua kamwe kama tukiendelea ivi tunavoendelea maamuzi mengi yamekuwa yakitolewa kwa faida ya simba au yanga. sasa refa kafungiwa miaka miwili hawasemi sababu na mkude kadi imefutwa hawasemi koz akipopewa kila mtu aliona sababu.
 
Hawasemi au wewe ujajishughurisha kusoma,humu humu JF kuna mtu amepost report ya bodi ya ligi inayosema yote unayouliza
 
1475676530439.jpg
 
Hebu editi ulichokiandika ueleweke, naona hutaki maaamuzi ya kesi ya Simba na Yanga, zisinufaishe au kuziadhiri vilabu hivyo, ulitakaje. Kesi zao maamuzi yake yasiwaguse.
 
Mtoa mada ni mnufaika wa maamuzi hovyo ya mwamzi wa ile mechi hivyo unahaki kuumia mkude kufutiwa kadi.. Kumbe kwa akili yako lile goli la tambwe na kukataliwa la ajib ilikuwa kukuza mpira wetu...
 
wanasema hakustahili kadi nyekundu lakini alimpush refa ..du
 
Hawasemi au wewe ujajishughurisha kusoma,humu humu JF kuna mtu amepost report ya bodi ya ligi inayosema yote unayouliza
wamesema hakustahili iyo ndo sababu kwan we hukuona kilichotokea
 
Hebu editi ulichokiandika ueleweke, naona hutaki maaamuzi ya kesi ya Simba na Yanga, zisinufaishe au kuziadhiri vilabu hivyo, ulitakaje. Kesi zao maamuzi yake yasiwaguse.

Una maana ya 'kuziadhiri' au 'kuziathiri'???

Halafu ni sahihi kusema vilabu??? Mimi nilidhani uwingi wa 'klabu' ni 'klabu' ??? Anyway, sina hakika na hili...Nami pia najifunza ...
 
Back
Top Bottom