Mpira wa miguu una uhusiano wa moja kwa moja na jamii ya Siri (wajezi huru)

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,748
Reaction score
18,096
Na kwenye mechi za kombe la dunia tunaona kabisa wamiliki wa jamii hii ya Siri ni watu weupe, angalia timu za watu weupe/wazungu zinavyoshinda mechi zake.

Timu ya Africa hata kama iliongoza kwa goal zaidi ya 2, wakiruhusu tuu goal dakika ya 86 lazima meza ipinduke.

Tazama 👇👇

Magoli yote yaliozivuruga timu za Africa yamepatikana dakika ya 86.

Walioyafunga hayo magoli wanavaa jezi namba 9

Tazama 👇 👇


Harry Kane JEZI NAMBA 9
Romelu Lukaku JEZI NAMBA 9
Erling Halaand JEZI NAMBA 9
=999

Ukizipindua hizo namba kama matokeo yalivuopinduka zitaonekana kama 666

Kama unadhani imetokea kwa bahati mbaya BADO UNA SAFARI NDEFU SANA.

Chapa ya mnyama 666


👇👇
86
 

Attachments

  • 26977.jpg
    569.6 KB · Views: 17
Kwa hiyo ukiwa mshabiki lia lia wa kabumbu unakuwa ni muumini tayari?
 
Hizi comments zinadhihirisha wazi kabisa waafrika walivyo mazuzu.

Miafrika ikishafanya ujinga na uzembe wala haitaki kukubali ni uzembe na ujinga wao wenyewe.

Inaanza kutunga sababu na imani za kipumbavu.
 
Na yule mganga wao tapeli , tukiwaambia hakuna kitu inaitwa uchawi wanakaza mafuvu
Waafrika wanajidaigi sana wana uchawi.

Hata humu ukiwaambia watu hakuna uchawi. Wanabisha sana.

Haya sasa huo uchawi wa Waafrika, Mbona hatuuoni kwenye World Cup?

Hizi imani za kijinga jinga ndio zina endelea kuifanya Afrika ichelewe kwenye mambo mengi.

Watu hawataki kuwa responsible na Uzembe wao, wana amini imani za kijinga jinga za Mungu na Uchawi. Mara Freemason, Mara Illuminati.

Kumbe ni Ujinga na Upumbavu tu.
 
Hizi comments zinadhihirisha wazi kabisa waafrika walivyo mazuzu.

Miafrika ikishafanya ujinga na uzembe wala haitaki kukubali ni uzembe na ujinga wao wenyewe.

Inaanza kutunga sababu na imani za kipumbavu.
Acha kufubuka wewe

Mwili wako wenyewe hauna control nao sembuse reality?

Jamaa yuko sahihi Fanya chunguzi utaona pattern
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…