Mpira wa miguu una uhusiano wa moja kwa moja na jamii ya Siri (wajezi huru)

Mpira wa miguu una uhusiano wa moja kwa moja na jamii ya Siri (wajezi huru)

tatizo wenzenu wanawekeza kwenye academy nyie mnawekeza kwenye dhulumati. lazima mtesseke tuu hamna namna.
sasa wewe unataka kushinda mechi wakati uuna paki basi uliona wapi? kushikilia bomba kunahitaji kubana mbupuz kweli kweli. wewe unadhani inter milan dhidi ya barcelona mourinho master lass ilikuwa kitoto.
ball bwana dawa yake ni moja ukipata mpira wewe shambilia tuu usiweke basi...utafanikiwa,
 
Harry Kane, Romelu Lukaku, na Haaland wote wanacheza namba 9 kwa sababu wote ni Center-forwards.

Wote ni ma strikers.

Ndio maana wote wamefunga magoli kutokana na positions zao.

Haya manyumbu huku Afrika yakishafungwa yanaanza hesabu zao za kipumbavu kutetea upumbavu wao.

Mara 999 ukipindua inakuwa 666. Harry Kane anacheza namba 9 ndio maana kafunga, Lukaku anacheza namba 9 ndio maana kafunga, Haaland anacheza namba 9 ndio maana kafunga.

Ulitaka magoli yafungwe na Kipa namba 1 au Mabeki namba 2 na 3?
You are very down, in the spectrum of consciousness
 
Sio kwenye mpira hao ndio wanahusika na tuzo duniani na michezo mbalimbali mpaka wana siasa ndio kwao hko.
 
Back
Top Bottom