Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,578
- 31,662
Taarifa yoyote ambayo inaanza naNinge penda tu kukusanua ya kuwa of course inasemekana hivyo, ila sio tunavyo dhani...
inasemekana.
Inakuwa ni taarifa isiyo na ukweli bado wala uthibitisho.
Inakuwa ni Rumors tu.
Kuujua ukweli kunaanza na kuthibitisha na kuhakiki hizo taarifa za Secret Society kama zina ukweli.Baada ya kujua ukweli, utagundua yote hayo nilosema pale juu..
Na kama taarifa ni secret na taarifa hizo zina jadiliwa TU kwenye secret Society, Wewe ambaye sio member wa secret Society, Huwezi kuwa na taarifa hizo.
Kwa sababu taarifa hizo, Ni taarifa special za siri kwa members TU wa secret Society.
Taarifa ambazo ni secret na zinazo jadiliwa TU kwenye secret Society, HAZIWEZI kupatikana Online kwenye Public Search Engines ambazo ni public kwa watu wote.There's no one holding the gates, wale sio watu kama sisi, hakuna aliye duniani anawajua. Waliopo duniani ambao tu nasema wana control ni wale walo link up na hao beings, so wanatumika kama portals tuu, na ndo hawa tunaowaabudu... Sijui freemasons sijui ninnin
Ndio maana huwezi kukuta, Taarifa za SIRI za Pentagon, USA Army, FBI, CIA, MOSSAD zipo accessible online kwa kila mtu.
Hauwezi kukuta taarifa za siri za kijasusi na za kiintelijensia za FBI, CIA na majeshi mbalimbali Duniani zipo accessible online kwa watu wote.
Sasa wewe mbongo, kusema kuna Secret Societies na kuelezea taarifa zao wakati wewe wala sio member wao, Inaleta Ukakasi.